Kalenga waapa kufa na CCM

Kalenga waapa kufa na CCM

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
14,193
Reaction score
2,815
Ni kauli ya Vijana,wazee na kina mama maeneo mbalimbali ya kalenga. Wanasema ccm haina mpinzani, haina wa kuiyumbisha, watawasikiliza,watawatafakari,watacheka nao lakini hawatawapa kura zao. Wataichagua ccm bila kujali imemsimamisha nani.

my take. Hongera wana kalenga
 
Ni kweli watakufa nayo maana utawala wa machaifu na wafalme ulishakufa tangu wakati wa Mkoloni.....watakufa na Godfrey ambaye hataki kuhoji sababu za kifo cha baba yake ......
 
Chadema kwa sasa ni sawa na kisima kilichokuwa na maji na baadaye kukauka kabisa.
 
Wewe umek..uny..az?
Mavi.jpg
 
Eti post inaletwa na simiyu yetu,ptyuuuuu..
 
Ni kauli ya Vijana,wazee na kina mama maeneo mbalimbali ya kalenga. Wanasema ccm haina mpinzani, haina wa kuiyumbisha, watawasikiliza,watawatafakari,watacheka nao lakini hawatawapa kura zao. Wataichagua ccm bila kujali imemsimamisha nani.

my take. Hongera wana kalenga
Kama wataichagua ccm HATA wakimsimamisha nani hapo ni lazima tutilia mashaka uelewa wao maana ni kwamba hata ccm waweke jambazi litapita tu! hilo siyo jambo la kujivunia. ukichunguza sana KUTO KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA NI TATIZO,VILIBA VYA KUPEMBULIA MAMBO ILI WAIJUE KWELI HAWANA.Wenzetu hatua hiyo walisha pita zamaaani kweli na ndio maana wako pale.
 
Km kweli wamesema hivyo, wanasononesha sana na kutia huruma mno hao vijana na wazee
 
Ni kauli ya Vijana,wazee na kina mama maeneo mbalimbali ya kalenga. Wanasema ccm haina mpinzani, haina wa kuiyumbisha, watawasikiliza,watawatafakari,watacheka nao lakini hawatawapa kura zao. Wataichagua ccm bila kujali imemsimamisha nani.

my take. Hongera wana kalenga

porojo hatutaki ! KAMA MKUTANO TU MMESHINDWA KUFANYA HIZO TAARIFA UMETOA WAPI ? WENZIO WANAKESHA LUMUMBA KUTAFAKARI WEWE UNALETA UONGO HUMU !
 
Ni kauli ya Vijana,wazee na kina mama maeneo mbalimbali ya kalenga. Wanasema ccm haina mpinzani, haina wa kuiyumbisha, watawasikiliza,watawatafakari,watacheka nao lakini hawatawapa kura zao. Wataichagua ccm bila kujali imemsimamisha nani.

my take. Hongera wana kalenga
Tatizo ni huu uhuru wa kupost...... hata wendawazimu sasa mnaweza kupost chochote
 
Back
Top Bottom