Kalapina ampondea Sugu

Hata mimi nimejaribu kusoma, hakuna mahali nimeona Sugu ametajwa. Huyo Kalapina kaandika katika hali ya kawaida kabisa. Bii Dis kwa Sugu itakuwa ni ya kulazimisha bila shaka.
Hata Tupac alivyo mwambia Biggie " You claim to be a player but I fucked your wife" kuna watu hawakujua anamzungumzia nani.. Kwa wanao jua kinacho endelea, hiyo diss ya Pina kwa Sugu ipo wazi kama yambuzi
 

Huyu pina anachekesha kama si ndugu yako. Ukimwona tu choka mbaya afya mgogoro sababu ya unga na bhangi. Eti anamdiss sugu? Hiii dunia hii haiachi kukosa wachekeshaji. Kalapina anashikwa matako na majamaa akiwa bwimbwi hajitambui. Kuna pensheni kweli kwa kalapina? Kwa wimbo mmoja ? Ukikaona kamekoooooooonda kamebaki tu kama mbwa koko aliyenyeshewa.
 
Naunga mkono hoja waache wana waokote ,kalapina mpaka sasa anapanda DALADALA hana hata KABUNJU.


 
Huyo Kalapina bila kubebwa na hao vilaza ataalikwa kuperform show ipi?

Usela mavi wa kuziba jicho moja zima ni wa kizamani sana Marekani walishatoka huko miongo kadhaa.
Sio kweli Dr, identification huwa haipitwi na wakati. Pina tulimjua kupitia Ngoma zake na eye patch ikiwa ndio utambulisho wake how come useme imepitwa na wakati!? Leo hii Jack Sparrow wa Pirates of Caribbean akibadilisha zile outfits zake kwenye movie zile tutamkataa why? Sabab ndio ID yake.
Turudi kwenye kualikwa hizo shows, unahisi hastahili? Kati ya wasanii wote kwenye hiyo show Kuna hata mmoja anaweza kualikwa show yoyote ya muziki wa sasa? Acha mafaza wale pensheni ChiefπŸ˜ƒ
 
Yeye ni mwanaharakati wa kuzuia matumizi ya unga kumbe na yeye anavuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…