Mbinafsi sugu au kalapina?Jamaa kaonesha ubinafsi sana.
Haya matamasha yakiwa mengi wanaonufaika ni wasanii.
kwa niaba ya Sugu mat.ko yako!Sugu hana akili mi huwa najiuliza hata ubunge aliupataje Mbeya vitu anavyofanya na umri wake ni vitu viwili tofauti
Amefunguwa Bereau de Change Mlimani City inaitwa Desderia.Sugu hana akili mi huwa najiuliza hata ubunge aliupataje Mbeya vitu anavyofanya na umri wake ni vitu viwili tofauti
Jamaa kaonesha ubinafsi sana.
Haya matamasha yakiwa mengi wanaonufaika ni wasanii.
Kwani kuna nini?
We huoni hapo kwenye Uzi Kala Pina anamuita Sugu mwiba? Su hujui maana ya mwiba mkuu? Ni hivi Sugu kalidiss tamasha la miaka 30 ya Bongofleva ndo Pina kamjibu kwa staili hiyoNimemaliza kusoma comments zote, sijaona wapi sugu alipodisiwa, na sababu ya kudisiwa kwake
Ikiwapendeza, wekeni taarifa kamili ili tusome na kuelewa wote. Sio wote tunapatikana mjini Instagram
Kabisa mzee, maisha yenyewe Yako wapiKwa bongo acha kila mtu apambane na hali yake.
Duuuh mabwakuu.
Huyo Kalapina bila kubebwa na hao vilaza ataalikwa kuperform show ipi?We huoni hapo kwenye Uzi Kala Pina anamuita Sugu mwiba? Su hujui maana ya mwiba mkuu? Ni hivi Sugu kalidiss tamasha la miaka 30 ya Bongofleva ndo Pina kamjibu kwa staili hiyo
Wewe ni haterSugu hana akili mi huwa najiuliza hata ubunge aliupataje Mbeya vitu anavyofanya na umri wake ni vitu viwili tofauti
Ilipaswa kwenye maelezo yako uambatishe na hiyo diss line ya sugu ili sote tuisomeWe huoni hapo kwenye Uzi Kala Pina anamuita Sugu mwiba? Su hujui maana ya mwiba mkuu? Ni hivi Sugu kalidiss tamasha la miaka 30 ya Bongofleva ndo Pina kamjibu kwa staili hiyo
Kuhusu kuharibiwa kwa Bongo Flavor Honours niliwahi kuandika kuhusu hilo hapa JFIlipaswa kwenye maelezo yako uambatishe na hiyo diss line ya sugu ili sote tuisome
Otherwise tunajua sote, sugu hawezi kushiriki matamasha ya hivyo
Kwa mafanikio aliyonayo, sio rahisi the real jongwe kushiriki hilo tamasha, as yeye anaona ni kama wamekuja kuua idea yake ya bongofleva honors