Kalamu yenye camera

Preta mbona unatafuta kunikamata kwenye kona zangu?
 
<br />
<br />
mkuu,ukifungua hiyo kalamu tizama vizuri juu ya sehemu unayochomeka usb utaona kuna button ambayo unaweza kuitwist kushoto au kulia,upande mmoja ni video na mwingine ni audio,ukitaka kurekodi press hold button iliyoko juu ya hiyo pen ,kuna tundu dogo ambalo liko oposite na hidden camera utaona inawaka taa ya njano then blue,ikiwaka ya blue then ujue inafanya kazi!nimeziuza sana hizi kalamu na miwani mwaka juzi,zote ni za kichina hata manual hazielezi chochote
 
nna wasiwasi hii itakuwa camera yenye kalamu sio kalamu yenye camera...
 
tech iko muda inatumiwa sana na wapelelezi,au wa andishi wapelelzi
 
kuna chupi za wanawake zina camera ...water proof ...nani anataka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…