Nimeona Gate Pass mkuu, ukipost utopolo tena tutakufwata hapo tuangalia CCTV footage ya mtu mwenye hiyo jens yako aliyekua fundi wa redio call.Energy oil imefanya nn mkuu? Zile uniform tu tunashona ofisin kwetu.
Karibu sana
Huyu hata Corolla yangu ikiishiwa hydrolic anaweza kuiwasha na ikawaka ,Mungu amsaidie mja wake tuDah mwamba mpambanaji sana
Hahaha, mwenye kampuni yenu mwambie kijana wake wa mbagala ana jambo lake anitafute. Ataelewa code hiyoNimeona Gate Pass mkuu, ukipost utopolo tena tutakufwata hapo tuangalia CCTV footage ya mtu mwenye hiyo jens yako aliyekua fundi wa redio call.
Wanaume tunatafuta kwa shida sana..Huyu hata Corolla yangu ikiishiwa hydrolic anaweza kuiwasha na ikawaka ,Mungu amsaidie mja wake tu
njaa ina uwezo wa kukupa ujasiri wa ajabu sana.Ile jamaaa 😂😂😂kama sio fundi kwanini ulichukua tender?
Inaweza kunipa ujasiri wa kufanya kazi lkn sio kama hiyo ya kutengeneza radio call ambayo Sina uzoefu nayonjaa ina uwezo wa kukupa ujasiri wa ajabu sana.
Bado kaka sijarudiAh menemene mjanja wa mjini tu... kwanza usharudi dsm au?
Mm nilijulia hapohapo mana redio call nazifaham kidogo kimatumizi lakin sio kufanya setting na vitu vingine. Hii ya utaalam inaletwa na kias cha njaa kilichopo kwa muda huoInaweza kunipa ujasiri wa kufanya kazi lkn sio kama hiyo ya kutengeneza radio call ambayo Sina uzoefu nayo
Njaa mbaya sana. Hapa kuna dili lingine la kwenda ku'dive' katika fukwe za msasani Bay mana kuna mashine ya boti imetumbukia. Mishe haina interview wala nn niko geto hapa nafikiria namna ya kuiingia nipate hela kula kesho 😆🤣🤣🤣we kila kazi unafanya,unawadanganya hadi njagu?
🤣🤣🤣🤣we kibokooo,hadi chini ya maji?I can't youNjaa mbaya sana. Hapa kuna dili lingine la kwenda ku'dive' katika fukwe za msasani Bay mana kuna mashine ya boti imetumbukia. Mishe haina interview wala nn niko geto hapa nafikiria namna ya kuiingia nipate hela kula kesho 😆