Aombe jamaa asifukie bump bimkubwa tutamwokota.
ha haha haha asipite kwenye makongoro ataumia makalio
hizo tairi ndo zake sasa, usimdharau usiemjua.
Naona ana safety belt kaishikilia
Ni kweli kwamaana amekaa siti ya nyuma kabisa!
Ok nimeuona, hiyo noah ilopaki hapo nikadhani ni ndoo kashikilia!!!
ha haha haha asipite kwenye makongoro ataumia makalio
Usiyapambe mtani yana jina lake halisi Usiogope kulitaja