Kakuta ''cool'' badala ya kululetera! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kakuta ''cool'' badala ya kululetera!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by pumbatupu, Aug 5, 2011.

 1. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndani ya Pochi ya Wife jamaa anakutana na Business Cards kibao..anaanza kuzisoma.. mara anakutana na moja inayosomeka Bernad. J. Kululetera...Ni HRO wa Kampuni moja hapa Bongo...Kumbukumbu zinamrudisha nyuma..oh.. yes anakumbuka walisoma wote Tosamaganga..a.k.a Tosa...BUT mshkaji kwa mademu alikuwa noma...Jamaa anaanza kupta waswas...anarecord namba za Simu halaf anauchuna...In Few days to come anaperuzi tena simu ya Wife mara anaiona ile namba ikiwa imeseviwa..Cool...Mshkaji anaanza kuweweseka kulikoni?..Ni kwanini Cool badala ya KULULETERA?...au ndo ''romantic abbreviations''?..Kumuuliza wife anashindwa itaonekana jamaa mchokonozi?..Ku'take' eazy anaona haijatulia...Anakuja mbio kwa wadau..Swali lake NIFANYEJE?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  halafu huu uandishi wa mpaka majina ya kweli ya watu humu...
  siku moja mtaleta kesi
   
 3. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usiogope mkuu..Haki ya Kutumia baadhi ya 'facts' imezingatiwa...
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Akichelewa kuchukua hatua mkewe atamegwa!
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  ukimchunguza kuku nayo...lol
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Kama ameshamegwa je
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  kweli, ukute kaluterera anaperuz humu na mtoa mada ndo victim mmmmh...!!!
   
 8. k

  kisukari JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  hicho ni kifupi tu cha hilo jina,kimepambwa kinakshi nakshi.
   
 9. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,461
  Likes Received: 2,506
  Trophy Points: 280
  Hii inaonesha Mkuu kama yamekukuta wewe vile,ila all in all,we usimuulize wife kwamza,mchunie, then fuatila kwa makin conversion zake na huyo msela wako (Kama una Moyo lakini,na kama unataka kuyafukua), then Mkuu,usije tu ukanywa sumu Bro,maana inaonekana kabisaa,wife wako kashaingia kumi na nane za msela na kashaelekea Kibra tayar kuchinjwa.
  Kama unataka ku rescue Mapema,mtafute huyo mSela wako,jidai umepata No Yake kupitia msela mwningine then Mkaribishe home,may be ataku respect akijua Kuwa huyo Demu,ni my wife wako
  Ni hayo tu kwa leo Boss,pole sana
   
 10. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kama ashamjua ni kwenda kumshushia tsunami la nguvu tu!
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  G crisis kumshushia mtu kipondo wakati huna uhakika kuwa tukio limeshatokea sio suluhisho. Awe na uhakika kwanza kweli jamaa wana mawasiliano then mawasiliano yao yamefikia wapi.
  Nafikiri ushauri wa mdau hapo juu wa kukaribishwa home na amkute yule mwanamke ndani ya nyumba ya jamaa itawafanya kupunguza speed zao kama walikuwa na mpango wa kumegana
   
 12. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu Bramo hayajanikuta mie..mbona ningekuja kama kawaida kimimi!!
   
 13. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Swali la mdau ndo liko hapo da Kisukari...kwa nini lipambwe kinaksh..nakshi?
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Love Love so nice! tell me why you HURT so BAD............................
   
 15. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kwani mi nikisema KULU....wadhani jina litaseviwa vipi?? ni 'COOL' huyu demu hana kosa, hilo jina KULULETERA, kifupi chake ni COOL....jina lenyewe limekaa kama MA.VI
   
 16. sinforosa

  sinforosa Member

  #16
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani tuko pamoja sn,
  kushusha tsunami ndo unawapa nguvu ya wao kuendeleza uhusiano bze at that time nyumba itakuwa haina amani kila mtu anahasira na mwezie so itakuwa muafaka kwa wao kufarijiana baada ya tsunami.
   
 17. k

  kisukari JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  muhimu afanye uchunguzi zaidi ndio ataujua ukweli,akimuuliza mke wake,atakataa tu,kwani jina sio ushahidi tosha.na kama kuna ukweli fulani,bora amkaribishe{ila inataka moyo}huyo mke anaweza kurudi nyuma kwa alilotaka kulifanya.kuna jamaa mmoja ali suspect mke wake ana cheat,alifanya juu chini akajenga mazoea na huyo jamaa,katika kumzoea,huyo mwizi alijua kama yule mke,ni mke wa huyo jamaa,yule mume,akamtungia storu kuwa ameathirika,yule mwizi alimuacha yule m.ke,aliogopa
   
 18. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  ukiona manyoya jua kisha liwa.
  Business card na namba ya simu ni manyoya tu.
  Msg delivered
   
 19. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  mali inaliwa hiyo,mbona wazi kabisa, mke kashachanganyikiwa na katerelo ya kaku, jina linaonekana la kule jirani
   
 20. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  ukiona manyoya jua kisha liwa.
  Business card na namba ya simu ni
  manyoya tu.
  Msg delivered
   
Loading...