Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,037
- 134,301
Ni kweli Mkuu. Nimemshangaa sana mleta uzi kwa kujitoa ufahamu. Ni huyu huyu Kakobe aliyewahubiria waumini wake kanisani juu ya umuhimu wa serikali tatu na kawadanganya eti ni chaguo la MunguKakobe siku zote ni mpiga debe wa wapinzani.
Kakobe siku zote ni mpiga debe wa wapinzani.
Mkuu, UKAWA ni kama nyumba a mleviGo go go > ukawa
Kwani kila haki ni lazima iwe ya UKAWA? Hata CCM nao wana haki yaoHaki itapatikana tu. Ujinga wako uweke pembeni
Ni kweli Mkuu. Nimemshangaa sana mleta uzi kwa kujitoa ufahamu. Ni huyu huyu Kakobe aliyewahubiria waumini wake kanisani juu ya umuhimu wa serikali tatu na kawadanganya eti ni chaguo la Mungu
Kakobe siku zote ni mpiga debe wa wapinzani.
Kwani kila haki ni lazima iwe ya UKAWA? Hata CCM nao wana haki yao
Kweli kabisa Mkuu. Kiongozi wa dini akishindwa kuaminiwa na waumini wake ujue hata kwa Mungu hana chakekakobe alishapoteza mvuto aunge mkono asiunge impact yake ni ndogo sana
Ni kweli Mkuu. Nimemshangaa sana mleta uzi kwa kujitoa ufahamu. Ni huyu huyu Kakobe aliyewahubiria waumini wake kanisani juu ya umuhimu wa serikali tatu na kawadanganya eti ni chaguo la Mungu
Mkuu, UKAWA ni kama nyumba a mlevi
Hahahahahahahaaaaaa! Kakobe ni zaidi ya msanii.Halafu mwaka 2010 aliwadanganya kondoo wake kuwa Mzee Slaa ni chaguo la Mungu hivyo wampe kura!
Ni bora Kakobe anayepigia debe wapinzani kwa utashi wake mwenyewe kuliko viongozi wengine wa dini ambao baadhi yao wapo kwenye bunge la katiba wakipigia debe CCM kwa kuhongwa ili wachakachue maoni ya wananchi.
kakobe alishapoteza mvuto aunge mkono asiunge impact yake ni ndogo sana
Kwani humjui aliyetoroka Mirembe? Kamuulize Tundu Lissuumetoroka MILEMBE .....
Kakobe siku zote ni mpiga debe wa wapinzani.