Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
Mungu wa Kakobe siyo wako wewe wa mizimu,bali ni yule aliye hai ambaye Yesu kristo nio mwana wake wa pekee.Kwa maneno yako ni wazi huja okoka na kwahiyo mungu wako ni mizimu.Na umeme nakuhakikishia haupiti.Hata kichaa mmoja alipanda penye nguzo hiyo na kuichezea atakavyo wakati upande wa pili upo na picha za magazeti za kichaa huyo zipo.Acha uongo wewe, umeme unapita kama kawa na hakuna tatizo, halafu unasema kakobe ni mtumishi wa mungu! Mungu yupi?
Mungu wa Kakobe siyo wako wewe wa mizimu,bali ni yule aliye hai ambaye Yesu kristo nio mwana wake wa pekee.Kwa maneno yako ni wazi huja okoka na kwahiyo mungu wako ni mizimu.Na umeme nakuhakikishia haupiti.Hata kichaa mmoja alipanda penye nguzo hiyo na kuichezea atakavyo wakati upande wa pili upo na picha za magazeti za kichaa huyo zipo.
Acha uongo wewe, umeme unapita kama kawa na hakuna tatizo, halafu unasema kakobe ni mtumishi wa mungu! Mungu yupi?
Mungu wa Kakobe siyo wako wewe wa mizimu,bali ni yule aliye hai ambaye Yesu kristo nio mwana wake wa pekee.Kwa maneno yako ni wazi huja okoka na kwahiyo mungu wako ni mizimu.Na umeme nakuhakikishia haupiti.Hata kichaa mmoja alipanda penye nguzo hiyo na kuichezea atakavyo wakati upande wa pili upo na picha za magazeti za kichaa huyo zipo.
Ahsante kwa kunisaidia juu ya mtu huyu mwana wa kuasiWewe ni mdogo wake Shetani. Pale hakuna umeme unapita na wala hautapita.
HATIMAYE MUNGU AMEJIBU MAOMBI YA MTUMISHI WAKE , hakika Mungu ni mwaminifu !kwa tahadhari yako tu muogope sana Kakobe kwa maana ni mtumishi wa Mungu wa viwango vya juu mno.Umeme mpaka leo miaka 6 umeshindwa kuwaka,unaishia kwenye nguzo wanayo bishania.Tanesco muogopeni Mungu.NAYAUNGA MKONO MAONI YAKO
Wewe ni mdogo wake Shetani. Pale hakuna umeme unapita na wala hautapita.
ufahamu wako katika mambo ya kiroho ni duni mno na kwakweli ni zero. Sijui nikusadieje kwa sababu huna unalo lijua unasubiri tu moto wa milele.Pole!Mtu ukiingia ulokole, akili zako zinakuwa sawa na za punda, kila anachosema mchungaji wako ndio unachoamini kama juha tu, wewe unasema Yesu ndio Mungu wa kakobe na wewe? Mmechanganyikiwa wote nyie, eti kichaa alipanda akashika waya! Panda wewe sasa mwenye akili za punda uone cha moto!
UlishapitaMhe.Pinda,aulizwe swali bungeni; Kwa nini mradi huu wa umeme haujazinduliwa mpaka leo;kama umeme UNAPITA kwa Ask.Kakobe?