Kakeketwa namuacha

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,019
Jamani utajuaje mwanamke kakeketwa na kuna kitu gani utaona ili kuhakikisha kameondolewa na je wanapata stimu kivipi coz najua kale kadude ukikachezea kidogo tu naanza kuona mto rufigi so unatakiwa kuanza kuvua kama nyavu zipo
 
Ukimpata muulize kwanza kama kakeketwa au la yeye atakupa jibu sahihi
 
Jamani utajuaje mwanamke kakeketwa na kuna kitu gani utaona ili kuhakikisha kameondolewa na je wanapata stimu kivipi coz najua kale kadude ukikachezea kidogo tu naanza kuona mto rufigi so unatakiwa kuanza kuvua kama nyavu zipo

Umewa kufanya kwich kwich?
 
Wewe unatafuta sababu za kumwacha mwanamke.Ujapenda wewe mapenzi ya kweli ni zaidi ya sex
 
Pole mbona tuliokeketwa tupo poa tu kwanza kwanii lazima wote mke na mume ufike?kumkojoza mwanamke sio kazi rahisi kumastermind ndio maana hata hao wazima hawajakeketwa nao inawawia ngumu kukojoa,wewe km unaenjoy enjoy mkeo km anafurahia penetration that is enough wengi waliotahiriwa wanajua that is far they can go hawawezi kukusema vibaya kisa hawakufika
 
waliokeketwa ni shiiiiiiiiidah, km shimo vile, mwenyewe nilimuacha mapema sana, mapenzi ni raha shida ya nini kwa waliokeketwa! cjui unangoja nn piga chini ubao huo ushapigwa randa.
 
Mbona heading haifanani na kilichopo ndani!!! unauliza au unatujuza kua umempata aliyekeketwa sasa unampiga chini?ebu tueleweshe bas maana wenzio bila vizibo hatuwezi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…