KAKAMEGA, KENYA: Mwili wa marehemu wafukuliwa kutoka kaburini ili uvuliwe sare za kazi

Kufukua mfu Kenya ni process ndefu na ngumu. Lazima uwe na court order kutoka kwa hakimu, kitengo husika cha afya nacho lazima kipeane kibali. Kenya Police nao lazima washuhudie shughuli yote. Hayo yote yametajwa kwa taarifa yenyewe, ya uzi huu. Ambayo kama kawa wengi wa wanao'comment' hawajaisoma hata sentensi moja. Lugha gongana inahusika. Kwa kifupi hawa 'afisa' wa gatuzi la Kakamega walifanya yao kwa maamuzi yao wenyewe bila ruksa kutoka kwa yeyote yule. Kisingizio chao kuhusu sare hakina mashiko. Wanajeshi, polisi, marubani, manesi na afisa wote watumishi wa umma Kenya huwa wanazikwa wakiwa wamevalia sare na magwanda yao wakifa 'in the line of duty'. Nashangazwa na hizi comment za ajabu ajabu humu, ila ndio hali ilivyo, kama lugha haipandi hamna namna. Ningeshauri mleta mada awe anaweka tafsiri kwa lugha ya kiswahili ili wenzetu nao wawe wanahusishwa vikamilifu.
 
Kufukua mfu Kenya ni process refu na ngumu. Lazima uwe na court order kutoka kwa hakimu, kitengo husika cha afya nacho lazima kipeane kibali. Kenya police nao lazima washuhudie shughuli yote. Hayo yote yametajwa kwa taarifa yenyewe. Ambayo kama kawa wengi wa wanaocomment hawajaisoma hata sentensi moja. Lugha gongana inahusika. Kwa kifupi hawa 'afisa' wa gatuzi la Kakamega walifanya yao kwa maamuzi yao wenyewe bila ruksa kutoka kwa yeyote yule. Nashangazwa na hizi comment za ajabu ajabu humu, ila ndio hali ilivyo kama lugha haipandi hamna namna. Ningeshauri mleta mada awe anaweka tafsiri kwa lugha ya kiswahili ili wenzetu nao wawe wanahusishwa vikamilifu.
Sasa comment mbona zinasikitika mzee??? Maana hiyo kampuni imechukua sheria mkononi...
 
Sasa comment mbona zinasikitika mzee??? Maana hiyo kampuni imechukua sheria mkononi...
Kampuni ipi ndugu yangu? Wanaongea kuhusu sare za askari wa gatuzi la Kakamega sio za kampuni. Mfano mzuri wa comment za ajabu ajabu nilizotaja ni hii comment yako hapa. Soma taarifa kwanza utaelewa. Hakuna sheria iliyozingatiwa wala hamna sheria yeyote ambayo ingewaruhusu hao wahuni wachache wafukue mwili wa mwendazake kwasababu ya sare za kazi.
 
Hujielewi wewe... sasa sisi tunasema nini hapa??? Umelewa au???
 
Back
Top Bottom