Kakakuona aonekana Gairo

Speed of light

JF-Expert Member
Nov 8, 2014
313
284
IMG_20160501_092714.jpg
Kakakuona aonekana Gairo mkoa wa Morogoro kwa wenye imani na mnyama huyo mwaka mzuri
 
Atakuwa ametoka mikumi watoe Taarifa kwa maofisa wa wanyama pori ili arudishwe mikumi
 
Kutokana na imani za kiasili mmyama huyo husadikika ana ubashiri wa kutoa pale anapowekewa nafaka kama mtama mahindi na maji ya kunywa anapokula nafaka hizo na kunywa maji ni inshara ya neema kwa mwaka huo. Tutizame yajayo kwa vile alikunywa na kula nafaka hizo yetu macho na masikio kutazama je ni kweli imani hizo zina vishiko..?
 
Siku hz wapo tele juzi kati jamaa kamfyeka mmoja shambani kwake wakati anafanya maandalizi ya shamba lake kule mkuranga yalikokimbilia majambaz ya bank.
 
Kizazi cha leo hawaamini tena maneno mbofumbofu nakumbuka kitambo Rukwa huko alipigiwa na ngoma duh nikashangaa haswaaa.
 
Sasa najipanga kufanya utafiti ikiwa pia atakuwepo Dadakuona maana Kakakuona wameshamiri
 
Mikumi na Garo ni mbali mno kwa mnyama huyo hawezi fika. Hii ni neema. Kwimage
 
Kizazi cha leo hawaamini tena maneno mbofumbofu nakumbuka kitambo Rukwa huko alipigiwa na ngoma duh nikashangaa haswaaa.
Mkuu hata wazungu wana imani na utabiri wa wanyama kama kakakuona unakumbuka yule samaki wa ulaya alivyotabiri bingwa wa kombe la dunia. Michuano iliyofanyika South Afrika 2010...? Mambo kama haya yapo duniani kote na yataendelezwa ni vigumu kufutika katika fikra za wanadamu
 
Back
Top Bottom