Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Hadi Kakakuona amegoma kutiki🤣🤣🤣 kasema "No Reforms?... bora nilale😂😂"
================
Mnyama adimu kuonekana, Kakakuona ameonekana akiwa na mtoto wake katika Kijiji cha Lilondo Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma, huku akitarajiwa kutabiri mambo mbalimbali ikiwemo Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, ambapo hata hivyo licha ya kuwekewa vitu mbambali alishindwa kutabiri na kubaki amelala.
Mkuu wa Wilaya ya Songea Bw. Wilman Ndile, amesema wanamchukua mnyama huyo na mtoto wake na kumpeleka kwenye bustani ya wanyamapori ya Ruhila kumhifadhi.