Mrope II Member Joined May 14, 2023 Posts 8 Reaction score 11 May 20, 2023 #1 Kaka yangu @harmonize_tz ni mimi kaka yako kabisa kutoka Kusini naitwa BABA BOSI AU BABA MTAKATIFU Staki kuongea leo ila Nataka kusema,tofauti kati ya hayo ni Kwamba Kusema ni ajira kuongea ni Kumaanisha. Mimi leo nakua msemaji wa haya ..!!! Kuna muda nilisema hakuna sijakiona katika umri wangu huu ila kumbe yapo ambayo sijayaona,kama Nimejifunza baada ya kuona wewe Umepewa Msanii bora wa mwaka ila @mbosso_ ni Msanii bora wa Kiume ..!! HAPA KWANZA NCHEKE MWAKA+KIUME Staki kuhoji jinsia yako kaka yangu @harmonize_tz wala sina Shida na Mtani wangu @mbosso_ Ila vipengere uwenda vipo kwa mujibu wa Sheria Ukirudi njoo CHITOHORI au Tukutane Nyumbani MIKINDANI kuna Jambo nikuambie Daktari Wa Zamu
Kaka yangu @harmonize_tz ni mimi kaka yako kabisa kutoka Kusini naitwa BABA BOSI AU BABA MTAKATIFU Staki kuongea leo ila Nataka kusema,tofauti kati ya hayo ni Kwamba Kusema ni ajira kuongea ni Kumaanisha. Mimi leo nakua msemaji wa haya ..!!! Kuna muda nilisema hakuna sijakiona katika umri wangu huu ila kumbe yapo ambayo sijayaona,kama Nimejifunza baada ya kuona wewe Umepewa Msanii bora wa mwaka ila @mbosso_ ni Msanii bora wa Kiume ..!! HAPA KWANZA NCHEKE MWAKA+KIUME Staki kuhoji jinsia yako kaka yangu @harmonize_tz wala sina Shida na Mtani wangu @mbosso_ Ila vipengere uwenda vipo kwa mujibu wa Sheria Ukirudi njoo CHITOHORI au Tukutane Nyumbani MIKINDANI kuna Jambo nikuambie Daktari Wa Zamu
Sicario poison JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,327 Reaction score 4,574 May 20, 2023 #2 Sijajua Kama ana account humu
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,202 Reaction score 35,225 May 20, 2023 #3 Ndo wa nani hao ?
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,456 Reaction score 36,471 May 20, 2023 #4 ππ
Sharamdala JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 3,559 Reaction score 6,564 May 20, 2023 #5 Yaaw yaaw unaitwa huku Mwachiluwi
Mrope II Member Joined May 14, 2023 Posts 8 Reaction score 11 May 20, 2023 Thread starter #6 mama D said: [emoji41][emoji41] Click to expand... Kuna uwezekano mkubwa meseji ya USIKU MWEMA ukaisoma ASUBUHI kwa Pozi za USIKU...?
mama D said: [emoji41][emoji41] Click to expand... Kuna uwezekano mkubwa meseji ya USIKU MWEMA ukaisoma ASUBUHI kwa Pozi za USIKU...?
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,883 Reaction score 67,334 May 21, 2023 #7 Sharamdala said: Yaaw yaaw unaitwa huku Mwachiluwi Click to expand... Nimekuja mkuu
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,883 Reaction score 67,334 May 21, 2023 #8 Sharamdala said: Yaaw yaaw unaitwa huku Mwachiluwi Click to expand... Ahaahah huyu anataka wakutane mikindani wana kikao cha siri ππ
Sharamdala said: Yaaw yaaw unaitwa huku Mwachiluwi Click to expand... Ahaahah huyu anataka wakutane mikindani wana kikao cha siri ππ
Sharamdala JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 3,559 Reaction score 6,564 May 21, 2023 #9 Mwachiluwi said: Ahaahah huyu anataka wakutane mikindani wana kikao cha siri ππ Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£
Mwachiluwi said: Ahaahah huyu anataka wakutane mikindani wana kikao cha siri ππ Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,883 Reaction score 67,334 May 21, 2023 #10 Sharamdala said: π€£π€£π€£π€£π€£ Click to expand... Kaka acha kabisaa wanata kuloga aho