The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,486
Hiyo barua ya Polisi If you read between the lines job done.Watamchinja halafu mwili watauscan wote kuitoa na kuisoma taarifa kisha kuichoma moto ila mpaka muda huu anapitia mateso yasiyo ya kawaida.
Hebu punguzeni kuandika swala la Mheshimiwa Polepole. Mnawapa promo watekaji..Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ambaye alithibitisha mwamba katekwa. Lakini alikosea kuweka wazi mwamba ana chip mwilini. Sasa si hii itawafanya watekaji wa mdismembered mwili wake kuukataka Kata kutafuta hiyo chip na Ku scattered kuutawanya mwili.
Mods am scared please help me!
🤔Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ambaye alithibitisha mwamba katekwa. Lakini alikosea kuweka wazi mwamba ana chip mwilini. Sasa si hii itawafanya watekaji wa mdismembered mwili wake kuukataka Kata kutafuta hiyo chip na Ku scattered kuutawanya mwili.
Mods am scared please help me!
SureImekaa ki mkakati sana hii
Dah ! Ghayo Mabhangi 😄Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ambaye alithibitisha mwamba katekwa. Lakini alikosea kuweka wazi mwamba ana chip mwilini. Sasa si hii itawafanya watekaji wa mdismembered mwili wake kuukataka Kata kutafuta hiyo chip na Ku scattered kuutawanya mwili.
Mods am scared please help me!
Hana Akili.Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ambaye alithibitisha mwamba katekwa. Lakini alikosea kuweka wazi mwamba ana chip mwilini. Sasa si hii itawafanya watekaji wa mdismembered mwili wake kuukataka Kata kutafuta hiyo chip na Ku scattered kuutawanya mwili.
Mods am scared please help me!