KAKA' vs Ronaldinho gaucho

jem_the_great

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
289
158
Ng'ombe hazeeki maini!!kwa sasa kaka na ronaldinho wanafanya vizur kwenye club zao,yote kwa ajili ya kumshawishi scolari waitwe kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Brazil.na big phil alisema kwamba kati yao mmoja ataitwa kikosini endapo ataonyesha kiwango kizur.Je ni yupi unaona akiitwa ataongeza chachu katika timu???
 
Labda Kaka ila Huwezi kumpanga Gaucho na kumpiga benchi Neymar.
 
Labda Kaka ila Huwezi kumpanga Gaucho na kumpiga benchi Neymar.

Aleyn ukimuuliza Naima...je kati yake na Santa Gaucho je nani aende WC na timu ya taifa mwakani?
ninahakika atakwambia ni kheri aende Santa Gaucho ili yeye abaki home na kuangalia miujiza mipya ya Sokal
 
Big Phil alimtosa Gaucho kwa sababu alichelewa mazoezini, Selecao ya sasa haijali umaruufu wa mchezaji binafsi, timu kwanza!
 
Big Phil alimtosa Gaucho kwa sababu alichelewa mazoezini, Selecao ya sasa haijali umaruufu wa mchezaji binafsi, timu kwanza!

Hata Dunga alimkana Dinho...
Ila siku hizi mwenzenu hatembei peke yake mitaani.
maana kila kona akipita anajambishwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom