nimekutana nae fb sikujua kama ni kaka wa boyfie, kutokana na fake names hizi, basi tukachat chati wee mpaka kanizoea, kama wasemavyo wakikaa watu wawili peke yao shetani anakua wa tatu wao, basi kaka watu akajikuta kafall, sio utani mwanzo alikua haingii fb kivile bt nw 24/7 hadi nafanya kumfukuza akalale,, after sometime nkajua kama ni ndugu na mtu wangu, bt sikumwambia tukaendelea na urafiki wetu, kaka wa watu yupo mkoani anataka kuja tuonane, nashindwa nianzie wapi kumwambia kua am invoved wt his lil bro, naogopa ataniona muongo and hell stop trusting me,, niko njia panda,, I dnt want to lose hz friendshp