Doswe Dossena
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 314
- 557
Wanakukuwadia wewe usiyejua kutongozahabari..?.
bila shaka weekend inaenda vyema mpaka muda huu.
kuna swali nimeukizwa nikashindwa kujib kwa ufasaha.
nalileta kwenu wadau.
nimeulizwa hvi.
"kwann dada ankuw mwepesi sana ku'connect'/kumkuadia kaka yake,
lakin sisi wanume kwanini tunashindwa kuwakuwadia dada zetu kwa wanaume wenzetu kama wanavyotukuwadia wao kwa wanawake wenzao.
mm nmeshindwa kujib jibu nlilolitoa ni.
'hakuna mwanaume anaeweza upuuz huo, Haiwezekani'.
nyinyi mnasemaje katika hili?.
Dakika ya ngapi?Azam 2 Ndanda 1
Sasa hivi half timeDakika ya ngapi?
Bonge la Match. Magoli yote ma3 ni Magoli ya Ulaya!Dakika ya ngapi?
Ni rahisi kuchezea nyonyo ya mama lakini sio pwido za babahabari..?.
bila shaka weekend inaenda vyema mpaka muda huu.
kuna swali nimeukizwa nikashindwa kujib kwa ufasaha.
nalileta kwenu wadau.
nimeulizwa hvi.
"kwann dada ankuw mwepesi sana ku'connect'/kumkuadia kaka yake,
lakin sisi wanume kwanini tunashindwa kuwakuwadia dada zetu kwa wanaume wenzetu kama wanavyotukuwadia wao kwa wanawake wenzao.
mm nmeshindwa kujib jibu nlilolitoa ni.
'hakuna mwanaume anaeweza upuuz huo, Haiwezekani'.
nyinyi mnasemaje katika hili?.
Ngoja nisoge pembeni nikacheke vizuri. aaah JF kuna mamboNi rahisi kuchezea nyonyo ya mama lakini sio pwido za baba
Ni rahisi kuchezea nyonyo ya mama lakini sio pwido za baba
Una lako jamboNgoja nisoge pembeni nikacheke vizuri. aaah JF kuna mambo
Lipi tena mkuuUna lako jambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nzuri hiyo imekaa kama vile unatoa oda ya bidhaa dukani daaahh, Naagiza Azam 3 na Ndanda 1 [emoji28] bila pilipili[emoji23]Azam 2 Ndanda 1