Kutoamini uwepo wa uchawi (ambao umetajwa kwenye vitabu vitakatifu vya dini) kwa sababu hujawahi kuushuhudia, ni sawa na kusema huamini hata uwepo wa Mungu maana kwani yeye umewahimshuhudia wapi pasi na shaka?Nimekataa, au nimechagua tu kuegemea upande wa maelezo ya daktari? Na kama wewe umechagua kumuamini huyo mama, tatizo liko wapi?
Sasa kama mhusika amepimwa vipimo vyote na kuonekana hana ujauzito, wala dalili za kujifungua! Ni makosa kuja kumfafanulia rafiki yangu mama D?
By the way, kila mtu ana imani yake. Binafsi sijawahi kuamini uwepo wa uchawi. Maana sijawahi kuushuhudia pasi na shaka.
Vitumbua tu ndio vimekosekana.
Unasikitisha sana kuamini hiyo habari.Dah pole sana jamaniii
Uchawi upo na wachawi ni wapumbavu sana yaani. Mtu aliyefanya hili sidhani kama anatakiwa kubaki kwenye jamii. Basi tuu uchawi hauna ushahidi
Huyu dada angekua hamjui Mungu angekufa
Tumtafute Mungu na nguvu zake jamani
Unaruhusiwa kusikitika sababu ya habari lakini sio usikitike sababu ya mimi... sababu mimi na wewe tunaweza kuwa na tuexperiences tofautiUnasikitisha sana kuamini hiyo habari.
Seriously!!! Maji ya baraka ndiyo ya aina gani?Uzandiki at work..
Hpa mwisho wa siku utaskia Kuna mganga wa sijui wapi kanisaidia namba zake hizi hpa.Daktari alithibitisha ile taarifa haikuwa na ukweli wowote ule. Mhusika alipimwa vipimo vyote muhimu na kuonekana hakukuwa na ujauzito.
Labda angetuambia huyo kalunguyeyevwake alimtoa wapi na mwisho wa siku kutuletea taharuki isiyo na kichwa wala miguu.
By the way, uchawi mwingine ni wa kufikirika tu! Kama huu wa huyu mwanamke.
chanjo zimeanza kufanya kaziWazee nimetoka Skiliza habar ya mwanamke aliyejifungua mnyama
Swal langu ..je uo ni uchawi!?
Kama ni uchaw utafanya nn ili usikupate?
KAJIFUNGUA mnyama aitwae Kalunguyeye
View attachment 1943247
Nimekataa, au nimechagua tu kuegemea upande wa maelezo ya daktari? Na kama wewe umechagua kumuamini huyo mama, tatizo liko wapi?
Sasa kama mhusika amepimwa vipimo vyote na kuonekana hana ujauzito, wala dalili za kujifungua! Ni makosa kuja kumfafanulia rafiki yangu mama D?
By the way, kila mtu ana imani yake. Binafsi sijawahi kuamini uwepo wa uchawi. Maana sijawahi kuushuhudia pasi na shaka.
Mbona hata wewe ulizaliwa kalunguyeye na wakati unazaliwa hamna aliyesema ni usaniiUsanii tu hapa hamna lolote.
Mimi nilishtukia kile kilio. Kilikuwa cha kisanii. Kuna ka utapeli fulani alitaka kumtapeli mumewe...Nimekataa, au nimechagua tu kuegemea upande wa maelezo ya daktari? Na kama wewe umechagua kumuamini huyo mama, tatizo liko wapi?