Zero IQ katika ubora wako wa ujinga ujinga ha ha ha. Zamani nilikuwa nakuchukia na pumba zako ila sasa hivi nikiona topic yako sikosi kuisoma ujinga ujinga wako ni burudani sanaMi nilimwaga maji maji yangu tu ila yeye ndio akayabeba
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sio burudani mwenzako nipo kwenye matatizoZero IQ katika ubora wako wa ujinga ujinga ha ha ha. Zamani nilikuwa nakuchukia na pumba zako ila sasa hivi nikiona topic yako sikosi kuisoma ujinga ujinga wako ni burudani sana
haina shida hayi yatajulikana ndani ya ndoa 😂😂Mimi nioe nitamtesa sana
Ngoja wanao wa kike wakue ttawafanya hivyo hivyo.Mimi nioe nitamtesa sana
Duu, sawa.itakuwa ni wao na miili yao ila sio mimi, mi nafanya kwa wakati wangu na wao watafanyiwa kwa wakati wao pia
Aisee Ni hatari.!Mimi niko safi kabisa