Kwenye taarifa ya habari ITV, Huwa wanaonyesha clip ambapo kajamaa kanaenda mbele ya FFU ambao wao full armed, na kuwaonyeshea middle finger, huku FFU wakikatizama tu. Kale kabaunsa ni ka-polisi, na kanatumika kama chambo tu, kuweni makini makamanda iyo nayo ni mbinu ya kiintelijensia ya kuonyesha CDM inadharau amri ya so called"halali" ya polise hivyo kuhalalisha kipondo.