Kajala: Harmonize ameanza mafunzo ya ubatizo. Kuitwa Gregory

Haina haja ya kuumiza akili kwa maamuzi ya mtu mwingne ukizingatia maamuzi yake ayaharibu wala kuathili maisha yako
 
Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.

Ndoa njema.
Sipati picha tangazo kama hili unalitoa ukiwa mitaa flani ya Kandahar! Dah Tanzania tuna uhuru sana
 
Sipati picha tangazo kama hili unalitoa ukiwa mitaa flani ya Kandahar! Dah Tanzania tuna uhuru sana
Uhuru wa kuabudu chochote unachokiamini au kutokuabudu kabisa kunakosekana kwenye nchi chache sana za mafala.
 
Watanzania tuna uhuru wa kuabudu. Unaweza kuabudu kwenye dini yoyote unayoona inafaa
 
Sasa wafurahie kupata harmo? Wamepata hasara
 
G kama G
Jamaa anaonyesha mapenzi mpk vinyweleo vinaona wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…