Yeah...... hata mie nshaona asee. Yaani mimi hivi? Over My Dead Bory lolhommie @Apsrin ni mawazo yake tu hayo, sasa hapa we dare to talk openely...chezeya jela!>
afadhali babu. Nije wapi nishuhudie huo ukaguzi? Nimechoka kusikia kwa watu.
nikuone, nakung'oa meno kwa fyekeo! mbona hivyo lakini??