kaizer you are great......................!

Sasa leo jiandae basi tutoke, nshaweka booking pale Giraffe Hotel tukajichane niongezamo nguvu asee. Staki kukunyima ile raha uitakayo bana. Si wajua nlizaliwa kwa ajili yako?

bby wangu Asprin! hizo raha zote za kwangu??? utanifanya nikuloge sasa ili nisishee na mtu, ili uwe unanikagua only me! mwahhhh mu sugar! nitapendezaje sasa?? nije na bikini au nivae nguo?? sema wewe, coz to me u r mo than a master!
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin, hofu yako tu mbona mie simtamani Kaizer?????

Ila nawe uache kumpaka paka Asprin dawa, ambazo hazijadhibitishwa na tbs, matokeo yake kalimwa ban.........

Asprin upo? Poleeeee siku nyingine ukome kupakwa madawa tehtehteh
Nipo mke wangu. Unaendeleaje? Umemwona bimdogo cacico anataka uniachie mazima? Nami nshawazoea mkiwa wawili ntafanyaje sasa?

 
Last edited by a moderator:


bby hilo gari badilisha bwana, wameshalicrem, why not u buying me lileeee kama la yule wa arsenal aliyemgonga mboni masimba alivyokujaga! mi nalitaka lile bwana, puliiiiiiz sugar!
 
bby wangu Asprin! hizo raha zote za kwangu??? utanifanya nikuloge sasa ili nisishee na mtu, ili uwe unanikagua only me! mwahhhh mu sugar! nitapendezaje sasa?? nije na bikini au nivae nguo?? sema wewe, coz to me u r mo than a master!

Vaa hii makitu tulopiga nayo picha tulivoenda Dubai.

 
Vaa hii makitu tulopiga nayo picha tulivoenda Dubai.

worry not, i will! nije thaa ngapi?? hakikisha mkeo mkubwa hayupo coz nisingependa kung'olewa masikio kwa plaiz! lolest! nawaogopa magamba kuliko ibilisi kha!
 
gfsonwin, hofu yako tu mbona mie simtamani Kaizer?????

Ila nawe uache kumpaka paka Asprin dawa, ambazo hazijadhibitishwa na tbs, matokeo yake kalimwa ban.........

Asprin upo? Poleeeee siku nyingine ukome kupakwa madawa tehtehteh

aisee BADILI TABIA huyu Asprin angekufa si unaona matokeo yake ilikuwa samaki ale mshedede wake? nishukuru manake sasa umepona. Najua hapo umesema humtamani Kaizer wangu lakin moyoni unaumia. huyu sitaki kushare na mtu aisee
 
Last edited by a moderator:


bby hilo gari badilisha bwana, wameshalicrem, why not u buying me lileeee kama la yule wa arsenal aliyemgonga mboni masimba alivyokujaga! mi nalitaka lile bwana, puliiiiiiz sugar!

hivi lakin cacico huko jela huyu Asprin hawakumcameroon? nauliza tu manake usije kuta tunashabikia kumbe ODM kwisha habari yake
 
Last edited by a moderator:

In maana my msiri cacico hamkuji kwa serena hotel kwenye dinner? manake Kongosho kasema j1 ndio party ya kumpongeza Asprin kisha awaachie wewe na BADILI TABIA muendelee naye yeye anarudi kwa Bishanga.
 
Last edited by a moderator:
worry not, i will! nije thaa ngapi?? hakikisha mkeo mkubwa hayupo coz nisingependa kung'olewa masikio kwa plaiz! lolest! nawaogopa magamba kuliko ibilisi kha!
Wahi sasa hivi bana... nna kiu ya kukukiss....


aisee BADILI TABIA huyu Asprin angekufa si unaona matokeo yake ilikuwa samaki ale mshedede wake? nishukuru manake sasa umepona. Najua hapo umesema humtamani Kaizer wangu lakin moyoni unaumia. huyu sitaki kushare na mtu aisee
Hahaha... huu mshedede wangu una bahati sana. Ulishapata ajali nyingi sana lakini ukaponea chupuchupu


 

haya kwa ruhusa ya shemeji na baba yenu wa moyoni ma swtlo Kaizer, napenda kuwatangazia wadogo zangu wote wa moyoni Excellent, Eiyer na Smile pamoja na mwanangu wa kiume Ronn M kuwa nao wajiandae tutajumuika sote kwenye dinner pale serena hotel leo kuanzia mida ya saa moja usiku. ulinzi na usalama wenu utakuwa mikononi mwetu miye na shemeji yenu so wote mumwambie asante sana shemeji na wewe Ronn M useme asante sana baba.
 
Last edited by a moderator:
hivi lakin cacico huko jela huyu Asprin hawakumcameroon? nauliza tu manake usije kuta tunashabikia kumbe ODM kwisha habari yake
he he he he! hebu niachie sweet pie wangu! nani anathubutu kumfanyia hayo makitu bby wangu, chezeiya Asprin weye?? nadhani alikuwa analala na spana na plaiz mkononi, ila nitakupa feed bak baadaye, coz leo hatanikagua tu, tutakaguana! lolest!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…