Sasa naamini chini ya jua hakuna linaloshindikana..nakumbuka enzi hizo nipo skuli huyu commentator wa leo (Gharibu Mzinga) aliwahi Kuniambia 'satoh' siku moja nitakuja kuwa moja ya watangazaji Bora kabisa wa kandanda hapa bongo
Leo mwana anatangaza fainali ya mabingwa Africa..big up sn kwake
*Kaizer wanashinda dakika 30 za nyongeza