Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,617 May 5, 2012 #1 Isiwe imechakachuliwa. Weka habari kwa pm haraka sana - serious kita 360, ujazo uwe lita 20.
M Mrdash1 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,375 Reaction score 338 May 5, 2012 #2 kiswahili kigumu kweli kweli sasa kaitaba ndo ka mnyama gani hako?
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,617 May 5, 2012 Thread starter #3 mrdash1 said: kiswahili kigumu kweli kweli sasa kaitaba ndo ka mnyama gani hako? Click to expand... hicho ni kinywaji tu kama konyagi, vodca ila hii ni more natural just like uganda walage
mrdash1 said: kiswahili kigumu kweli kweli sasa kaitaba ndo ka mnyama gani hako? Click to expand... hicho ni kinywaji tu kama konyagi, vodca ila hii ni more natural just like uganda walage
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,970 Reaction score 30,135 May 6, 2012 #4 Mrdash1 said: kiswahili kigumu kweli kweli sasa kaitaba ndo ka mnyama gani hako? Click to expand... Kaitaba ni mji huko Kagera, Sasa inahitajika kwa maana ya kwamba inahitajika ikombolewe kutoka mikono dhalimu ya magamba!! Umeelewa sasa??
Mrdash1 said: kiswahili kigumu kweli kweli sasa kaitaba ndo ka mnyama gani hako? Click to expand... Kaitaba ni mji huko Kagera, Sasa inahitajika kwa maana ya kwamba inahitajika ikombolewe kutoka mikono dhalimu ya magamba!! Umeelewa sasa??