Kairuki hospital yatoa matibabu ya macho bure

Kairuki hospital yatoa matibabu ya macho bure

Lool..! tarehe 3 to 4 left me behind asee, siku mbili ndogo mno, anyway hospital ina huduma nzuri na kwa uhakika, i was there for my mom surgery they did well...
Ila watu wamejitokeza wengi kwahiyo tumeongeza na siku mpka kesho huduma inaendelea my dia. Karibu
 
Habari imechelewa!

Hawa mshahara hawajalipwa and then Huduma wanatoa bure???
 
Bro mishaara ilishalipwa kitambo mpaka tumeshasahau kama tulilipwa.
Basi hapo imekaa poa mkuu, uambie uongozi uendelee kutoa huduma za bure ila mwisho wa mwezi February wasicheleweshe tena mishahara wakasingizia kua walitoa sana free service kwa jamii so mishahara itachelewa.
 
Back
Top Bottom