Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 439
- 1,070
Hahahahaaaa mkuu bhana 🤣🤣🤣🤣Mambo ya Alexido jz instagram haya
Kaka huo uhusika unakufaa haswa maana huenda tunachati na msanii mkubwa tu hapa Tz ameamua kujificha kwenye fake IDHahahahaaaa mkuu bhana 🤣🤣🤣🤣
International artist kabisa, 🤣🤣🤣🤣🤣 nikipanda jukwaaani watu wanalia na wengine wanaanguka Kwa furahaaKaka huo uhusika unakufaa haswa maana huenda tunachati na msanii mkubwa tu hapa Tz ameamua kujificha kwenye fake ID
Naam walingi na wanunguleKama wale jamaa wanaongoza ngoma za kisukuma, kama sikosei wanaitwa walingi...
Manyanza atakuja kuweka sawa kama nimekosea.
Siku hizi fursa ziko za kila rangiKujirusha rusha kidogo tu, kashaingiza mpunga...
Wabheja sana ngosha. Dulishindikija wozumaleBalinghi
ok.🐒Hivi ndivyo staa wa muziki nchini Harmonize alivyoshusha burudani Mkoani Kagera usiku wa kuamkia leo katika wilaya ya Karagwe
Na hii ni moja ya staili ya uchezaji wake ambayo imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki zake
View attachment 3669549