yeah,aliwaambia hvohvo,but kova ndo aliwatuliza waandish,coz walichukizwa,NDIO ULEV WA MADARAKA,yeyote asiyethamini mchango wa waandish kwenye lile tukio ana mtindio wa ubongoAliwatukana kuwa hawana lolote la maana kuwasaidia walopata shida g'mboto!
Ha ha haaa, hapo kwenye red umenivunja mbavu. Asante mama mkubwakama nitakosea nisahihishwe kuna waandishi wa habari walikuwa kama wanamtetea muadhirika mmoja wa mabomu aliekua akidai kuwa misaada inatolewa kwa upendeleo ndipo muheshimiwa huyo akawageukia waandishi na kuwaeleza wasichonge wenyewe hawana uwezo wa kuchangia hata kilo moja.cha kushangaza pamoja na mapungufu yao haoni kweli mchango wa waandishi? hao ndio watu wa mkwere ukichunguza sana unaweza kuta alimsaidia wakati anamkimbia sayore monduli mie hadi kichwa kinauma.
Sidhani kama ni tusi aliwaambia waandishi nao wachangie wahanga hao hilo ni tusi ? waandishi wanapoandika habari wako kazini wanalipwa kwa hilo sasa wanapoambiwa na wao hawajatoa mchango wowote kwa wahanga wanahamaki wanadai wamekashifiwa kwa kuwa wamekuwa wakiriport matukio
ACHENI HIZOO mna wajibu wa kuchangia kama wananchi wengine

Kuna tatizo la uelewa juu ya mchango; Nijuavyo mimi katika hali kama hii ya Goms, Inatakiwa Mchnago wa hali na Mali.. sasa inapotokea mtu hutambui mchango Hali bali kutambua mchango wa mali huo ni ukosefu wa fikra, hekima, busara na utu wema!
Waandishi wa habari pamoja na vyombo vyao wametoa mchango wa hali ambao mwisho wa siku unafanya msukumo wa waathirika wa Goms kupata msaada wa mali.
N