REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,607
- 9,811
Kweli hii inchi ilipokuwa inaenda siyo ona sasa huyu alipewa mpaka dhamana ya kusimamia watumishi kumbe naye elimu yake haieleweki.
Acha kuchanganya mambo huku kwenye hii Kashfa mabosi wapo wengi tu ,tatizo hutujui yupi ni yupi .Kama ni ccm huyo, ujue wamemuhisi,anaimani na Lowasa ! Hakuna ccm mwenye kukumbwa na mkosi wa vyeti feki,lazima hapo kuwe na kasoro,na sio ndogo ! Vinginevyo,atajitokeza hadharani kama nape na kuweweseka sana.kama alisaidia kuiba kura za upinzani,basi ni laana inamtafuna.manape na magoli yao ya viwiko vyeti feki havita waacha.wananchi wamemlilia sana Mungu kwa habari ya wizi wa kura za Lowasa,lazima Mungu atufute machozi yetu!.
Gwatako!Hilo jina la maajabu kidogo
pointless kbsaKama ni ccm huyo, ujue wamemuhisi,anaimani na Lowasa ! Hakuna ccm mwenye kukumbwa na mkosi wa vyeti feki,lazima hapo kuwe na kasoro,na sio ndogo ! Vinginevyo,atajitokeza hadharani kama nape na kuweweseka sana.kama alisaidia kuiba kura za upinzani,basi ni laana inamtafuna.manape na magoli yao ya viwiko vyeti feki havita waacha.wananchi wamemlilia sana Mungu kwa habari ya wizi wa kura za Lowasa,lazima Mungu atufute machozi yetu!.
mwambie sijui Ana shule ndogoAcha kuchanganya mambo huku kwenye hii Kashfa mabosi wapo wengi tu ,tatizo hutujui yupi ni yupi .
Kilichofanyika ni cha kupongezwa sana .
Tofautisha siasa na utendaji Wa Necta
Utasemaje mabosi wako wengi wakati huwajui?Acha kuchanganya mambo huku kwenye hii Kashfa mabosi wapo wengi tu ,tatizo hutujui yupi ni yupi .
Kilichofanyika ni cha kupongezwa sana .
Tofautisha siasa na utendaji Wa Necta
Mwenyekiti TALGWU mkoa wa Mwanza naye pia (tetesi)Utasemaje mabosi wako wengi wakati huwajui?
Orodha hiyo ndeeeefu ni walimu wa UPE kwa asilimia kubwa.
TALGWU ndio nini mkuuMwenyekiti TALGWU mkoa wa Mwanza naye pia (tetesi)
Chama cha Wafanyakazi Serikali za Mitaa.TALGWU ndio nini mkuu
Aiseee! Hebu acha dharau. Walimu wa UPE ndiyo wamenipa maujanja mjini. Kwani wewe ulifundishwa na nani boss?Utasemaje mabosi wako wengi wakati huwajui?
Orodha hiyo ndeeeefu ni walimu wa UPE kwa asilimia kubwa.
Ni hao hao walimu wa UPE. Nipo katika kuwatetea waalimu wetu mkuu.Aiseee! Hebu acha dharau. Walimu wa UPE ndiyo wamenipa maujanja mjini. Kwani wewe ulifundishwa na nani boss?