Kaimu Mkurugenzi wilaya ya Urambo bwana Gwatako naye aligushi cheti

Yupo mlinzi pia alichonga cha form 4 ilhali hakihitajiki. Ambao hawakuchonga, sasa hivi wanapeta. Anyway, walinzi, wahudumu, madereva, manesi na walimu ndio wameumia zaidi. Sijui kwa sababu ya uwingi wao au uhitaji wa qulification hafifu katika kazi zao.
Ni ibilisi tu aliwazonga, kwa mfano tena hapo kwetu kuna mama mwingine ambaye ni katibu mahususi mzee kabisa amekaribia kustaafu na anajulikana ni form seven, maajabu kumbe na yeye alifanya yake, Shetani anajua kuvuruga watu kweli
 
Tutayaona mengi kwenye hili sakata ila tu busara zitumike palipo na makosa. Binafsi naamini sio wote waliotajwa wana vyeti vya kugushi.
 
Kweli hii inchi ilipokuwa inaenda siyo ona sasa huyu alipewa mpaka dhamana ya kusimamia watumishi kumbe naye elimu yake haieleweki. View attachment 503866
Namshukuru Mungu amesikia kilio chetu.Kwa kiasi kikubwa hawa waliogushi vyetu ndio waliotufikisha hapa tulipo.Hatutakuja kujua precisely ukubwa wa uharibifu waliousababisha kwa taifa letu.Hata hivyo tunajua kwamba ni mkubwa mno.Bado tunaendelea kutoa rai kwa Rais wetu kwamba watu waliogushi vyeti bado wapo,kwa hiyo zoezi la uhakiki wa vyeti uwe endelevu,hasa kwenye halimashauri zetu.
 
Wote ni Wateuliwa tu hata wakurugenzi ni wateuliwa tena kama wa majiji ni uteuzi wa Raisi moja kwa moja, sasa huku wateuzi wanasamehewa na huku hakuna.
Ndio watu wanahisi vibaya mtu mmoja kawaokoa wote huko juu DCs,DASs, RCs, RASs, takataka etc Gwatako angetoa anachotoa Bashite ungewaokoa wakurungezi wengine mungu tujalie
 
Kwa maana hiyo ile kauli kuwa wakuu wa mikoa/wilaya na wakurugenzi jumlisha mawaziri na wabunge hawajaguswa ilikuwa kumlinda Bashite tu, ila kuna walio guswa?1 nchi hii ni zaidi ya v wonder maajabu yake hayapo sayari hii yanapatikana kwetu tu.
Aliyetaja wakurungezi nani???
 
Utasemaje mabosi wako wengi wakati huwajui?

Orodha hiyo ndeeeefu ni walimu wa UPE kwa asilimia kubwa.
Nakubalina na wewe, idara nyingi hazikukaguliwa vyeti, mfano katika halimashauri nyingi idara ya uchumi mipango na fedha haikuguswa.
 
Ni hao hao walimu wa UPE. Nipo katika kuwatetea waalimu wetu mkuu.

Ajira yao haikuwa na kigezo cha cheti cha form four wala form six, yale matamko ya ajabu ajabu mara ooh lazima uwe na cheti sijui cha ndoa! sijui cha nini na nini!!! ndipo utata ulipoanzia.
Hapo poa. Maana nili - panic mkuu! Napata maji hapa.
 
Hakuna kutofautisha kitu hapo ! Wao wanapotumika katika kugeuza matokeo ya kura za wapinzani katika chaguzi, hua wana tofautishaga siasa na utendaji ? Mkuki kwa ngurue,kwa ccm mchungu ! Tena hawa wakurugunzi,ndo wakufekiwa wote,manake wanaibeba sana ccm katika kura za wizi,wakati wa chaguzi zote nchini.
Safi sana kiranja wao,mtakatifu wa ccm toa wote hao,kama vipi na wewe mwenyewe toka,maana PhD imeondoka na mtu ! (Ben)
 
Point less kwako gamba ! Wezi wa kura,mabashite,msiojua mfanyalo,mpaka mnaona aibu kupeana job description ! Kwakua madaraka mmenyanga,na Hanna uwezo nayo.Shem on u ccm.ooh walanguzi wa sukari,mbona mmewashindwa na bai ya sukari sasa hivi,karbu sawa na nauli ya hiyo midege yenu mibovu ?.mabehewa hewa,dawa hewa,viongozi hewa elimu hewa,eti tuna utawala ! Ona aibu wewe kizazi cha watekaji alah !
 
Naona toka vyeti feki vitolewe majib yake watu mnatafutana si mchezo! Ni full mtifuano
Ni battle kal sana mkuu yaan full kukamiana mbaya, kwa sisi wapenda soka huu msuguano tunaufananisha na El classico yaan Barcelona vs Real madrid. Huku Messi huko Ronaldo yaan damu pamoja na kuvunjana mpaka mtu akimbie
 
Nakubalina na wewe, idara nyingi hazikukaguliwa vyeti, mfano katika halimashauri nyingi idara ya uchumi mipango na fedha haikuguswa.
Wameambiwa maafisa utumishi wahakiki orodha kisha ambae jina lake halipo lipelekwe NECTA kwa uhakiki. Nazan kutakua na uhakiki wa ambao hawajahakiki
 
Kama ni ccm huyo, ujue wamemuhisi,anaimani na Lowasa ! Hakuna ccm mwenye kukumbwa na mkosi wa vyeti feki,lazima hapo kuwe na kasoro,na sio ndogo ! Vinginevyo,atajitokeza hadharani kama nape na kuweweseka sana.kama alisaidia kuiba kura za upinzani,basi ni laana inamtafuna.manape na magoli yao ya viwiko vyeti feki havita waacha.wananchi wamemlilia sana Mungu kwa habari ya wizi wa kura za Lowasa,lazima Mungu atufute machozi yetu!.
Hujielewi
 
Back
Top Bottom