KAHAMA: Zaidi ya wafanyakazi 1,300 wakosa ajira baada ya mgodi wa Buzwagi kufungwa rasmi

Halmashauri ya kahama imepata Bil 17 kwa buzwagi pekee, achilia bulyanhulu na wachimbaji wadogo, hizi pesa zimeenda wapi? Mbona hamna maendeleo? Barabara mbovu, maji hakuna, shule za hovyo,
 
Back
Top Bottom