PreGE2025 Kahama: Stendi yafungwa kupisha mkutano wa CCM chini ya Mzee Wasira

PreGE2025 Kahama: Stendi yafungwa kupisha mkutano wa CCM chini ya Mzee Wasira

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
2,711
Reaction score
6,474
Ni Tanzania pekee huduma kwa wananchi kusitishwa/kusimamishwa ili kupisha mkutano wa Chama. Gari zote zinafanya shughuli za kushusha na kupakia abiria nje ya stendi

wasira kahama.jpg
 
Ubinafsi tu wa chama, wangetafuta viwanja huko wafanye mkutano badala ya kutegeshea eneo lenye shughuli nyingi za kiuchumi kama hili
 
Back
Top Bottom