mdogo sana kama anafamilia inamtegemea kama yupo single hiyo scale inamtosha kabisa
chumba na sebule sinza 300000
nauli chakula ofisi 150000
viwalo vya husein pambakali 100000
jioni kijiweni gambe kualalumpa au hongera bar 100000
stock nyumbani 150000
wese 150000
balance kama 350000 nawaambia stanbic wanikate ile alteza niliyokopa
na bakiwa na balance kama
lazima nijenge jina mjini das lamuuuuu kudadadekiiiii zenu