mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,410
- 4,988
Mkuu wa Mkoa Kagera Hajjati Fatma Mwassa amesema mnamo Mwezi Mei Ujenzi wa Soko jipya la Manispaa ya Bukoba utaanza na baada ya mwaka mmoja litakuwa tayari kwa matumizi.
Aidha RC Mwassa amesema Stendi ndogo ya magari ya mjini kati ujenzi wake umefikia asilimia 80 huku stendi kuu ujenzi ukitarajiwa kuanza hivi karibuni ukimbatana na barabara za lami kilimita 10.
Pia soma Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
RC Mwassa amesema kuhusu mradi wa Bandari ya Kemondo umekamilika asilimia mia, ujenzi wa meli ya MV Mwanza umefikia hatua za mwisho.
Katika hatua nyingine RC Mwassa amemshukuru Rais Samia kwa kutoa kiasi cha Tsh. Bilioni 9 kufanikisha ujenzi wa Machinga Complex katika Manispaa ya Bukoba.
Ameyasema hayo leo katika Ibada ya Jubilei ya Fedha ya Askofu Methodius Kilaini iliyofanyika Kanisa Kuu Bukoba