Kagera: Abdallah Bulembo aisambaratisha CHADEMA, Wanachama kibao wajiunga

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,487
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo aendelea na ziara ya kuimarisha Chama Kagera, 71 wajiunga na CCM wilaya ya Ngara.
652f0002463134c8aa1ddfc2bc0a1fce.jpg
6b719cc53ee0fada080f92630781d6cc.jpg
.

My Take

Wanasiasa msifanye Siasa hadi 2020. Hili katazo bila shaka linawahusu CHADEMA tu.

RAIS Dk. John Magufuli alipiga marufuku vyama kufanya ushindani wa siasa mpaka baada ya miaka mitano ili wananchi wahoji wanasiasa kama wametekeleza yale waliyoyaahidi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

Alitoa kauli hiyo Ikulu Dar es Salaam baada ya kukabidhiwa ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva.

“Niwaombe wanasiasa wenzangu wafanye siasa za ushindani kwa nguvu zote baada ya miaka mitano ili wananchi watuhoji tuliyoyaahidi kama tumeyatekeleza au hatujayetekeleza.

“Kila nchi hata zile zilizobobea kwenye demokrasia unapokwisha uchaguzi unakuwa ni wakati wa kazi.

“Haiwezekani mkawa kila siku ni siasa watu watalima saa ngapi? Kila siku ni siasa, ni vema tukatimiza wajibu wetu tuliopewa na wananchi na watatupima kwenye hilo.
 
2020 asimame basi kugombea huko Kagera
 
12048560_1049686148395557_363338095_n.jpg
Hashim rungwe spunda akifanya kampeni,nawaona CDM 2020 kabisa. Msema kweli ni mpenzi wa mungu.
 
Nchi hii bwana!
Kupata maendeleo tusahau.......
Hila haijawahi fanikiwa katika jambo lolote
 
Back
Top Bottom