Tafadhali wana jamvi,hapa bkb tumeshindwa kufahamu bkb mjini ilipata sh.ngapi za mfuko wa jimbo.mbunge hasemi ila eti fedha alizopata ni kama tone kwenye ziwa.mwenye scandal za huyu mtu za binafsi ,kama mbunge,na hata waziri atuletee jamvini tunazihitaji sana.asanteni
Kumbe unajua enheee. Wakati wa kuchukua fomu za uwakilishi wa jimbo kwa tiketi ya sisi m walijitokeza yeye na bwana mmoja anajulikana kama Rweyemamu. Huyu Rweyemamu aliwahi kuwa meneja wa KCU zamani. Ni mwana sheria.Kagasheki ana hela sana. Tetesi nilizosikia ni kwamba alikuwa anataka kumnunua Lwakatare ili ajitoe -- ikashindikana!
Huyu alikuwa UN Geneva. Alihusika kwenye scandal ya fedha za UN zilizomhusisha mwanae Koffi Annan. Alikuwa na kesi Geneva ndipo akakimbilia Bongo na kumwanga fedha sijui kujenga barabara zilizomwezesha kuwa mbunge huko bkb.