Leo mida ya saa tano nimemshudia mgombea ubunge Bukoba Manispaa CCM mzee Kagasheki akitoa vitisho na matusi kwa sisi vijana wa bodaboda Rwamishenye. Kagasheki alikua na mdogo wake anayegombea udiwani na wafuasi wa ccm .Wakati yuko kwenye hicho kidedea alitupita kwanza na wakati anarudi ndo akaanza matusi nitayaandika macheche mengine sitaweza. Vijana nyie wajinga
Bodaboda mnajaa
Hamuelewi na mwisho kasema kuwa kura zetu azitaki.
Kijana mmoja akamuuliza mbona videdea vilikatazwa?Jibu lilikua kumkamata tai kijana huyo na kumpiga picha.Sasa wadau nikajiuliza hivi huyu kweli nikiongozi? Je yeye yuko juu ya sheria? Kwanini anatumia ubabe kiasi hicho.
Kagasheki you have to get out first and learn politics of issues not politics of violance.
Weka picha
Picha ya senene!!Picha ya matusi?! Au picha ya nn unayoitaka ww

Kagasheki Msamehe manake kesha ona ngoma nzito ndo maana hata kale kaji-FM kanakufa taratibu keshaona maji ya shingo...Lwakatare anamnyima usingizi, katika ilani yake ya 2010 aliahidi kutoboa uwanja wa ndege wa Bukoba Mjini kwa chini (tunnel) ili wananchi wasipate adha ya kuzunguka uwanja wa ndege....wapi?
kwani wewe umeandika kifaransa?Ueleweki, sijui form seven ww! bora ungeandika kihaya.
Weka picha
rallphryder mimi ni seven kweli ila wewe degree order/holder bado nakuzidi.kama leo uwezi tofautisha politics of issues na politics of violance alafu unaona unajua. Ok kagasheki kayafanya haya mbele yangu mimi na vijana wenzangu tunao endesha bodaboda.kama unakanusha sema sikupiga kelele tu. Mimi nina uhakika kua wagombea au mgombea lazima aoneshe good morals na conducts ili nasi tujifunze nakua na imani naye kwamba tunaongozwa na mtu mwenye hekima na busara.
Sijui nyie degree zinawasaidia nini kama standand seven anaweza kuona mambo na kuyakemea wewe mwenye degree uwezi.
Mtu aliyepiga picha anaitwa jamal tumemfaham tayari. Kagasheki out...rwakatare in...