My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Tell us the fact of himyou are liar
Mkuu mbona unashindwa kutumia hata akili kidogo tu uliyozaliwa nayo?Mbona mkwere yupo hapa hapa Bongo na PK kamshindwa?
Kwa hiyo umapingana na maelezo yako ya post? Maana anasema wanaweza kuua MPINZANI yeyote wa Kagame popote alipo kasoro US, Israel na UK.Mkuu mbona unashindwa kutumia hata akili kidogo tu uliyozaliwa nayo?
Mkwere ni Rais mstaafu, Unadhani ni mtu wa kawaida huyo?
Kumdhuru mkwere ni kuidhuru Tanzania nzima na jibu lake ni Vita kamili hadi Kagame anapinduliwa Kama Idd Amin.
Then prove him wrongyou are liar
Ndo maana unampinga mtoa mada kumbe hujui mambo mengi,Kama hujui hata kampeni aliyekuwa nayo Mtikila against Tussi dominationKwa hiyo umapingana na maelezo yako ya post? Maana anasema wanaweza kuua MPINZANI yeyote wa Kagame popote alipo kasoro US, Israel na UK.
Na hata hivyo hizi ni hadithi za kusadikia tu mkuu, Who is Mtikila by the way mpaka serial killers watumike.
Wengi ni watoto humu wanakuja kubisha tu bila kuelewa mambo, achana nae mkuuNdo maana unampinga mtoa mada kumbe hujui mambo mengi,Kama hujui hata kampeni aliyekuwa nayo Mtikila against Tussi domination
Naona hujaelewa mada, jiulize kwa mfano TISS wamuue Mange Kimambi ndani ya ardhi ya US, kisha Marekani iseme Tanzania imehusika, Unadhani utaona tena Bendera za CCM kijijini kwenu?Kwa hiyo umapingana na maelezo yako ya post? Maana anasema wanaweza kuua MPINZANI yeyote wa Kagame popote alipo kasoro US, Israel na UK.
Na hata hivyo hizi ni hadithi za kusadikia tu mkuu, Who is Mtikila by the way mpaka serial killers watumike.
Jinga hilo halijui lenyewe lipo kwa ajili ya kusifu na kuabuduNaona hujaelewa mada, jiulize kwa mfano TISS wamuue Mange Kimambi ndani ya ardhi ya US, kisha Marekani iseme Tanzania imehusika, Unadhani utaona tena Bendera za CCM kijijini kwenu?
Hili la Mtikila, wewe huwezi kujua lolote, sitaki kutumia energy kubwa kukuelewesha ni bora nikuache tu
Daaa..Kwa hiyo umapingana na maelezo yako ya post? Maana anasema wanaweza kuua MPINZANI yeyote wa Kagame popote alipo kasoro US, Israel na UK.
Na hata hivyo hizi ni hadithi za kusadikia tu mkuu, Who is Mtikila by the way mpaka serial killers watumike.
Kwa akili yako Unadhani mimi ni mnyarwanda? Uwezo mdogo wa kuijua Dunia unawatesa sanaWanyarwanda wanapenda kupeana kiki naona unampa kiki raisi wako,
Watu wa namna hiyo huaga mnawajibu wa kazi gani? SOma jifanye hujaona, achana nae, hajui chochote halafu kakomaa na ubishi tu. Endelea kutoa madini mkuuNdo maana unampinga mtoa mada kumbe hujui mambo mengi,Kama hujui hata kampeni aliyekuwa nayo Mtikila against Tussi domination