And more!They all look like they are above six feet...
Kagame kwao ndiye mfupi, hahaaa.They all look like they are above six feet...
And more!
Pole na welcome back!
Mkuu, naona umerejeshwa! Ulifanya dhambi gani mpaka ukalambwa ban?They all look like they are above six feet...
Mkuu, naona umerejeshwa! Ulifanya dhambi gani mpaka ukalambwa ban?
indeedThank you.
I’m back full throttle. All gas no brakes.
Ha haa! Inaonekana mods walikuwa na hamu na wewe kweli... Si kwa ban hiyo...Nilimbwatukia mmoja wa na fans wangu ndo nikaishia kuswekwa lupango.
Ha haa! Inaonekana mods walikuwa na hamu na wewe kweli... Si kwa ban hiyo...
Kivipi yaani au mneneMpana
Wacheza basketball ni warefu balaaHashim namba nyingine ile,hawa ni ft 6 na inches chache,in short watutsi wenzao hawawashangai kwa urefu wao lkn Hashim akienda Rwanda lazima wamshangae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi mm nisipokua makini nafika futi saba maana nishafika 5.7 na umri wa kufika kikomo cha kurefuka sijafikia
Au ulitongoza mchuchu wa mod mnoko?Kweli kabisa.
Sijawahi kula ban ndefu kiasi hicho.
Henry Nkya mambo?....karibu aseeUSA baby.....
Proudly Rwandese.
kuna wanyarwanda wafupi heri ya jpm.. vipi ww umepanda angani? huyo mtoto wa kike wa kagame mate yananidondokaProudly Rwandese.
Au ulitongoza mchuchu wa mod mnoko?