Kagame sends out warning to dissenting RPF cadres

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013

Source: The East African

http://www.theeastafrican.co.ke/Rwa...433218/2442242/-/item/2/-/haynwp/-/index.html


Katika jitihada ya kuthibiti vuguvugu la mabadiliko nchini Rwanda linalosababishwa na baadhi ya wanachama wa chama tawala kuhamia upinzani, Kagame amelazimika kuchimba mkwara mzito hadharani. Mtu ukisoma haya maneno ambayo huyu dikteta anatamka hadharani, ndio unapata picha kwa nini alipotishia "kum-hit" Kikwete sisi wabongo tuliona kitu cha ajabu, lakini watutsi humu JF wakaona kawaida kabisa. Kumbe huko Rwanda vitisho kama hivi ni mambo ya kawaida tu. Baadhi ya mafumbo-wazi aliyotoa:

"Let no one think that they are more righteous and can put RPF in the right place," President Kagame warned. "If they ever think they can do it, they better do it within RPF."

"But if you think you can find your right place while outside RPF, it is impossible.

"RPF knows the best way to put people in their right place. For those of you who are still looking for your right place, I promise you we will find your right place for you, but not a single person is going to put RPF in its right place because it is already in the right place."

"If you take a wrong direction, you either won't arrive at your destination or you will be late," said President Kagame in an apparent caution to party members. "We have always said that a country cannot be run by indisciplined people."

cc: murutongore Ngongo Kituko JokaKuu @ lawmaina78 masopakyindi binamutz kadoda11 MAHORO nyumba kubwa JustDoItNow
 
Yuko sawa kabisa Mr. President,kiukweli watu wanashindwa kutofautisha nchi na nchi,kwa magumu ilopitia Rwanda na maadaui wake,This is the only way to do,hakuna option,ukileta videmokrasia uchwara nchi mnaigawana vipande asubuhi.
 
The interests of a nation or public should prevail. Wabinafsi na waroho washughulikiwe vizuri
 
Yuko sawa kabisa Mr. President,kiukweli watu wanashindwa kutofautisha nchi na nchi,kwa magumu ilopitia Rwanda na maadaui wake,This is the only way to do,hakuna option,ukileta videmokrasia uchwara nchi mnaigawana vipande asubuhi.

kwa hiyo unakubali kuwa hakuna ruhusa kwa mtu kutoka ndani ya RPF?
 
jMali

He later may recognize that he is preparing his own death factory
 
Last edited by a moderator:
Yuko sawa kabisa Mr. President,kiukweli watu wanashindwa kutofautisha nchi na nchi,kwa magumu ilopitia Rwanda na maadaui wake,This is the only way to do,hakuna option,ukileta videmokrasia uchwara nchi mnaigawana vipande asubuhi.

Nadhani hajifunzi kutoka katika historia. Kwa vile aliwahi kuishi Tanzania, na wasomi wake wakuu karibu waote wamekulia na kusomea Tanzania, angejua kuwa nchi haingozwi na mtu mmoja kama ambavyo Tanzania ilivyowahi kuongozwa na mtu mmoja ajulikanaye kama Mwalimu Nyerere. Baada ya Nyerere kuondoka nchi ikabaki mzogazoga, na alipojaribu kuiongoza kwa rimoti, sheria ya mola ikamfuata kabla hajafika popote na ikabaki bora liende. Kagame anaweza kuwa ana mapenzi sana na nchi yake kama walivyo wapiganaji wengi, lakini kuiongoza single handedly ni kuiharibu nchi hiyo. Alitakiwa kipindi hiki akitumie kuijenga nchi kiasi cha watu kuaminiana na kupendana hadi wasahau ukabila wao, ila anapoongoza kwa mabavu na kuwakumbusha ukabila wao, basi atashangaa kuwa mambo yanaweza kurudi kule kule alikotokea!
 
Yuko sawa kabisa Mr. President,kiukweli watu wanashindwa kutofautisha nchi na nchi,kwa magumu ilopitia Rwanda na maadaui wake,This is the only way to do,hakuna option,ukileta videmokrasia uchwara nchi mnaigawana vipande asubuhi.
Democrasia ya magharibi imetuweka pabaya! Ukweli tukitaka maendeleo na Amani nchi inahitaji KUTAWALIWA na sii KUONGOZWA ila mtawala awe MWADILIFU SANA KAMA KAGAME.....
 
jMali

Confused interahamwe..hii obsession kwa Kagame ni mental issue nakushauri seek medical attention.
 
Last edited by a moderator:
Duh assassinations will soon start
 
Am not totally against Kagame at all times,but i condone and agree with him on how africans should be governed.

As i have been saying over and over,democracy doesn't work with us well. I think Rwandese should thank him for what Rwanda is today.

However,kagame as the citizen of Rwanda and president he has his own flaws,but i think he still serve the best for Rwanda. If you ask mwe today, will Rwanda be safe if he leaves his presidency? I would day NO.
My admiration for Kagame is because he knows how to get things done. He is a man of his words and patriotic. As Tanzanian sometimes i wish we have leaders like Kagame who can deliver and serve,forget about personal level flaws and stubbornness .

We africans should sit down and engineer our ways of doing things ;not copy and paste from the western world,because not all the time might work for us,rather a lackey of imperialism.

Long live Our mother land Africa.
 
Point ni kuwa Bado Kagame hajamaliza Ukabila Rwanda, nasema hajamaliza ukabila ni kwa sababu ya kushindwa kukubali kuwa genocide iliua watu wote, Watusi/Wahutu na mchanganyiko wa Watusi na Wahutu, Unapofanya sherehe ya kumbukumbu ya kukumbuka Mahuaji ya Kimbali na kuwatenga Wahutu hilo ni kosa na ni Ubaguzi, hivyo Ubaguzi- Ukabila bado upo sana Rwanda, FDRL bado wapo na wanajipanga kwa njia zao wanazozijua, HIVYO BADO KUNA THREAT kwenye Seriklali ya Kagame

Pili kuna Ubaguzi wa Watusi wenyewe kwa Wanyewe na huo umegawinyika katika sehemu nyingi tu,
1. Anglophone na Francophone Tutsi
2. Wakubwa wa Serikali na Chama RPF wanaompinga Kagame japo sio wazi sana
3. Wakubwa wa Jeshi na Intellegensia ambao kwa njia moja ama nyingine hawamkubali Kagame kwa sababu zao
4. nk

Kagame ni Kiongozi mzuri kwenye mikakati ya kuinyanyua inchi, lakini yuko weak sana kwenye kutatua migogoro ambayo ni tishio kwake mwenyewe na nchi kwa ujumla, huwezi kuwa adui na kila mtu anayepingana na misimamo yako, lazima ifike point ya kukubaliana kutokubaliana,
 
jMali

Confused interahamwe..hii obsession kwa Kagame ni mental issue nakushauri seek medical attention.

All i did was to spark a debate around a published article which is there for everyone to see. This is what JF international forum is about.
On the other hand you call me "interahamwe" without any proof. Hapo nani anahitaji medical attention?
 
Democrasia ya magharibi imetuweka pabaya! Ukweli tukitaka maendeleo na Amani nchi inahitaji KUTAWALIWA na sii KUONGOZWA ila mtawala awe MWADILIFU SANA KAMA KAGAME.....

inakuwaje mnapotaka kumbadilisha huyo mtawala?
 

Anasahau kuwa mwalimu pamoja na kuwa Rais bora kabisa aliyewahi kutokea hapa Tanzania (kwa mawazo yangu), ndie rais pekee wa Tanzania aliyenusurika kupinduliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…