Kagame on Karake

Kagame on Karake

Jamaa yuko spot on. hayo mimi niliambiwa na wenyeji wa huko enzi hizo nilivyowaambia nataka kuhamia nchini kwao. Wakafunga milango na madirisha halafu wakacheka wakiniuliza "wenzio tunataka kukimbia wewe unataka kuhamia"? Halafu hao ni watutsi mind you!
ah kumbe serikali ya Rwanda inatesa na watutsi pia? mbona kila siku ulikuwa unatuambia wahutu tu ndio wanao nyanyaswa? hao wanaotaka kimbia ni wakosa adabu wenzako kama na wewe na interahamwe wako mlivyokimbia baada ya mauwaji ya 94... unataka kumzuga nani jMali?
 
Back
Top Bottom