Kagame ni hatari

Aliona mbali,, ndomaana alifanya hivyo, ili asije akawa km mange
 
Licha ya kutumia hoja ya uwekezaji kuhalalisha andiko lako but even bila hiyo hoja,huu ni upuuzi wa kishenzi unafanywa Africa karibu yote,hali ya kuwa opposition Africa ni hell,Magu anayoyafanya bongo wapinzani hawakuwahi waza
 
Jamani mi nilikuwa Rwanda nimeona maisha wanayoishi ni mabaya na magumu hatari watz tunalalamika kumbe tunaishi Kwa raha sana
Xawa but taratibu tunapelekwa huko na ukatili wa mhutu kwa visingizio vya kutekeleza miradi ya maendeleo,stupid kabisa toka Uhuru kila Rais ametekeleza miradi ya maendeleo kwa sense of humanity.Whatz so special kwa huyu? imagine Uhuru kidogo wa kukosoa na kuleta maoni kinzani tulionao kwa sasa ni kwenye mitandao tu tofauti na hapo unakapatwa na mabalaa kama ya huyo pk
 
Kagame ni moja ya viongozi wa hovyo waliobaki Afrika, anapenda kujificha nyuma ya mauaji ya kimbare yaliyotiwa chumvi kuendelea kudumu madarakani.
 

HUYU JAMAA NI WA HOVYO SANA
 
Tena ni kibaya sana,kinafanana kabisa na kile alichokifanya mbowe kumuuzia chama mamvi ili silaha asigombee urahisi!na alipopaza sauti akataka kumuua mpaka akakimbilia kanada. Mbaya sana hii tabia.
unajijaza ujinga, shauri yako.auwe mtu halafu abaki mitaani,nyie watumwa wa B7 ujinga utawaisha lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…