Kweli kabisa.Sikuwahi kufikiri kwamba kagame anaweza kuwa na akili za hovyo kiasi hiki,kumkamata Rwigayana na mama yake kisha kuwapa kesi na kuagiza mahakama kuuza kiwanda kwa bei ya hasara kwa mnada ni jambo linalotoa picha mbaya kwa bara zima afrika,binti mdogo anampeleka puta a,kagame ni moja ya viongozi wasiofaa kuigwa hata kidogo ,waafrika tuna hulka za wanyama hususan sokwe,ukingalia maisha ya sokwe utagundua kuwa sokwe mkubwa hapendi mpinzani,alitokea mpinzani ni lazima amshambulie hata kumtoa uhai,wana roho ya visasi,ndivyo walivyo watawala wakiafrika ,afrika haiwezi kupiga hatua kwa viongozi wa namna hii
Hicho kiwanda atakinunua yeye.kwa utabiri wangu nadhani Rwanda kuna siku watachinjana Tena.Sikuwahi kufikiri kwamba kagame anaweza kuwa na akili za hovyo kiasi hiki,kumkamata Rwigayana na mama yake kisha kuwapa kesi na kuagiza mahakama kuuza kiwanda kwa bei ya hasara kwa mnada ni jambo linalotoa picha mbaya kwa bara zima afrika,binti mdogo anampeleka puta a,kagame ni moja ya viongozi wasiofaa kuigwa hata kidogo ,waafrika tuna hulka za wanyama hususan sokwe,ukingalia maisha ya sokwe utagundua kuwa sokwe mkubwa hapendi mpinzani,alitokea mpinzani ni lazima amshambulie hata kumtoa uhai,wana roho ya visasi,ndivyo walivyo watawala wakiafrika ,afrika haiwezi kupiga hatua kwa viongozi wa namna hii
Muda ukifika,watakwama tu.!!Kwani Kagame si ndyo amemuambukiza Yonaha hzo tabia,pia kabila la Kagame kinaroho mbaya kiasili na wao huamini kuwa walizaliwa ili watawale na siyo watawaliwe!
Ulichokinena Mkuu ni sahihi sana kagame si mtu mzuri hata kidogo anachomfanyia yule mama na kuamua kumfilisi kabisa ni sawa na yule Mwenyekiti Wa ufipa alivyomfanyia zitto mpaka zitto akaamua kukimbia chama hayana tofauti.Sikuwahi kufikiri kwamba kagame anaweza kuwa na akili za hovyo kiasi hiki,kumkamata Rwigayana na mama yake kisha kuwapa kesi na kuagiza mahakama kuuza kiwanda kwa bei ya hasara kwa mnada ni jambo linalotoa picha mbaya kwa bara zima afrika,binti mdogo anampeleka puta a,kagame ni moja ya viongozi wasiofaa kuigwa hata kidogo ,waafrika tuna hulka za wanyama hususan sokwe,ukingalia maisha ya sokwe utagundua kuwa sokwe mkubwa hapendi mpinzani,alitokea mpinzani ni lazima amshambulie hata kumtoa uhai,wana roho ya visasi,ndivyo walivyo watawala wakiafrika ,afrika haiwezi kupiga hatua kwa viongozi wa namna hii
Tena ni kibaya sana,kinafanana kabisa na kile alichokifanya mbowe kumuuzia chama mamvi ili silaha asigombee urahisi!na alipopaza sauti akataka kumuua mpaka akakimbilia kanada. Mbaya sana hii tabia.Ulichokinena Mkuu ni sahihi sana kagame si mtu mzuri hata kidogo anachomfanyia yule mama na kuamua kumfilisi kabisa ni sawa na yule Mwenyekiti Wa ufipa alivyomfanyia zitto mpaka zitto akaamua kukimbia chama hayana tofauti.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] muosha huoshwa tuwaache wafu wazikane kinachonistua wananchi hawana hata time kufuatilia walishawachoka na siasa za Maji taka wanabaki kujifarijiTena ni kibaya sana,kinafanana kabisa na kile alichokifanya mbowe kumuuzia chama mamvi ili silaha asigombee urahisi!na alipopaza sauti akataka kumuua mpaka akakimbilia kanada. Mbaya sana hii tabia.