KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Huyu jamaa ni mtu hatari sana kwa usalama wa rwanda!
Sawa mkuu KELVIN GASPER, kila kitu uwa kina ubaya wake na uzuri wake!tukutuku huyu jamaa pamoja na kuwa hatari kwa rwanda, inchi kaiweka kwenye mstari. jana nilikuwa na mazungumzo na mfanyabiashara wa kinyaruanda ananiambia zile biashara za njia za panya boda kati ya tanzania na rwanda ameikomesha . akaniambia hivi sasa wafanyabiashara wamehamia boda ya uganda na tanzania. other side of the coin mi namkubali.
What does it mean?Watutsi proper.
kuwapata hao watoto inatakiwa uwe Freemason, wanaweza kuwa hawajafunguka............
Huyu jamaa ni mtu hatari sana kwa usalama wa rwanda!
Precisely mkuu!Sio Rwanda tu, ni hatari kwa kipande kizima kinachojitambulisha kama EAC.
tukutuku huyu jamaa pamoja na kuwa hatari kwa rwanda, inchi kaiweka kwenye mstari. jana nilikuwa na mazungumzo na mfanyabiashara wa kinyaruanda ananiambia zile biashara za njia za panya boda kati ya tanzania na rwanda ameikomesha . akaniambia hivi sasa wafanyabiashara wamehamia boda ya uganda na tanzania. other side of the coin mi namkubali.
kuwapata hao watoto inatakiwa uwe Freemason, wanaweza kuwa hawajafunguka............
Hivi kwa nini Kagame huwa hapendi au haji Dar mara kwa Mara?anamtuma waziri wake Mkuu?kuna nini?au anaogopa kugeukwa na kukamatwa?