Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 739
Ni ajabu na kweli inakuwaje marais wanaounda EAC wasije aje Mugabe? hata Kibaki alikuja akiwa amechelewa sana dk za lala salama.Jamani, jana kwenye sherehe za kumwapisha Mkwere, Bwana Mwai Kibaki nusura asije kabisa hadi mwishoni alipoona kuwa aliyoyatenda kwa Odinga yanafanana ya yale aliyoyatenda kikwete kwa wapinzani, ndo akaondoa ndege hadi bongo haraka. Ila, sina uhakika, M7 ametuma hata mwakilishi tu? kama hajaja yeye wala mwakilishi hajatumwa kuja,ina maana amemdharau mkwere?..Rwanda na Burundi wametuma wawakilishi tu. This is East Africa community ambayo viongozi wanatazamiwa kuwa na umoja kuliko jambo lolote lile. haitarajiwi hata kidogo zuma, kabila, lupia maraisi wao kuja in person, halafu wale wanaojifanya wana east africa kama rwanda, uganda na burundi kutuma wawakilishi tu..
Mkwere, jiangalie vizuri, wenzio wanayaona unayofanya na wamekutosa manake wamekuona hauna lolote. mbona hawajaja kukutunza mkuu? tafakari hili...think about it!
AU kwasababu mkwere alimwambia mseveni amezeeka aachie madaraka? izo speech zake jk ziko youtube hata sasa. m7 na kagame lao moja. lakini amekuja zuma, mugabe etc, kwa kuwai, kibaki alikuwa anatazama kama wenzie watakuja walivyoona hawaji yeye akaamua kurusha ndege harakaharaka kutua hapa kwa kuchelewa hadi alichelewesha sherehe...Mseveni ana bifu na jamaa --tetesi
Jamani, jana kwenye sherehe za kumwapisha Mkwere, Bwana Mwai Kibaki nusura asije kabisa hadi mwishoni alipoona kuwa aliyoyatenda kwa Odinga yanafanana ya yale aliyoyatenda kikwete kwa wapinzani, ndo akaondoa ndege hadi bongo haraka. Ila, sina uhakika, M7 ametuma hata mwakilishi tu? kama hajaja yeye wala mwakilishi hajatumwa kuja,ina maana amemdharau mkwere?..Rwanda na Burundi wametuma wawakilishi tu. This is East Africa community ambayo viongozi wanatazamiwa kuwa na umoja kuliko jambo lolote lile. haitarajiwi hata kidogo zuma, kabila, lupia maraisi wao kuja in person, halafu wale wanaojifanya wana east africa kama rwanda, uganda na burundi kutuma wawakilishi tu..
Mkwere, jiangalie vizuri, wenzio wanayaona unayofanya na wamekutosa manake wamekuona hauna lolote. mbona hawajaja kukutunza mkuu? tafakari hili...think about it!
AU kwasababu mkwere alimwambia mseveni amezeeka aachie madaraka? izo speech zake jk ziko youtube hata sasa. m7 na kagame lao moja. lakini amekuja zuma, mugabe etc, kwa kuwai, kibaki alikuwa anatazama kama wenzie watakuja walivyoona hawaji yeye akaamua kurusha ndege harakaharaka kutua hapa kwa kuchelewa hadi alichelewesha sherehe...
mbona hata watu wa ulaya, uchina hata russia marafiki wa zamani hawajampongeza mshikaji? rais gani wa tz hajawai kupongezwa akiwa anaapishwa?
anajidai mafuta nini, hajui na sisi hapa tunayo gesi na mafuta yako mbioni? tukipata si hata hayo ya kwake yatakosa soko kwasababu hawana bandari na hawatauza nchi za mbali zinazotumia usafiri wa meli?M7 nae ni mubabe tu...
Jamani, jana kwenye sherehe za kumwapisha Mkwere, Bwana Mwai Kibaki nusura asije kabisa hadi mwishoni alipoona kuwa aliyoyatenda kwa Odinga yanafanana ya yale aliyoyatenda kikwete kwa wapinzani, ndo akaondoa ndege hadi bongo haraka. Ila, sina uhakika, M7 ametuma hata mwakilishi tu? kama hajaja yeye wala mwakilishi hajatumwa kuja,ina maana amemdharau mkwere?..Rwanda na Burundi wametuma wawakilishi tu. This is East Africa community ambayo viongozi wanatazamiwa kuwa na umoja kuliko jambo lolote lile. haitarajiwi hata kidogo zuma, kabila, lupia maraisi wao kuja in person, halafu wale wanaojifanya wana east africa kama rwanda, uganda na burundi kutuma wawakilishi tu..
Mkwere, jiangalie vizuri, wenzio wanayaona unayofanya na wamekutosa manake wamekuona hauna lolote. mbona hawajaja kukutunza mkuu? tafakari hili...think about it!
We unajua wakati Kagame anaapishwa nani aliwakilisha Tanzania?JK wako hakwenda eti alikuwa kwenye kampeni.
sababu za kutokuhudhuria zinaweza kuwa
1. sina hakika kama ile vita jamhuri ya kidemokrasia ya kongo
iliisha rasmi. hivyo uwepo wa kabila na mugabe unaweza kuwafanya
kagame na museveni kutohudhuria hiyo shughuli. aidha afrika kusini nayo
inashutumiwa kuwauzia /kupitisha yale mapanga ya ntarahamwe hivyo
uwepo wa zuma unaweza kuwafanya hao wakuu wa rwanda na uganda
kutohudhuria
au
2.kwa sababu moja au nyingine jk hakubaliki na wenzake wa afrika mashariki
au
3. huo ni ujumbe wanamtumia kwamba hata wao hawaridhishwi na mchakato
mzima wa "ushindi" wa jk
au zote 1, 2 na 3.
mapanga ya intarahamwe si yalitoka china, nani anasema south africa tena? halafu, kagame na kabila sio maadui, ni kiini macho, kuna wengi wanasema hata kabila mwenyewe ni mrundi, kwasababu kabila baba yake hakuwa yule aliyekufa, kabila baba yake na mamayake ni wanyarwanda ila mamake alikuja kuolewa na laurent kabila yeye akawa mtoto wa nje/kufikiwa...akabadili jina hilo kuwa kabila badaye...kuke congo wako kwenye process kumwondoa mshikaji kwasababu wanasema wanatawaliwa na mtu ambaye siyo raia. pia inasemekena ni kagame alimweka madarakani na walifanya njama ya kumwua yule kabila ili joseph akae madarakani kwa interest za rwanda...jambo hili si jipya kujadiliwa huko congo na kwa wacongo walioko diaspora. hivyo ukiona kagame na kabila wanajifanya maadui, wala usiliweke kichwani, ni kuchanganya watu akili tu..wenzio wamesomea huo ushushushu kabisa.sababu za kutokuhudhuria zinaweza kuwa
1. sina hakika kama ile vita jamhuri ya kidemokrasia ya kongo
iliisha rasmi. hivyo uwepo wa kabila na mugabe unaweza kuwafanya
kagame na museveni kutohudhuria hiyo shughuli. aidha afrika kusini nayo
inashutumiwa kuwauzia /kupitisha yale mapanga ya ntarahamwe hivyo
uwepo wa zuma unaweza kuwafanya hao wakuu wa rwanda na uganda
kutohudhuria
au
2.kwa sababu moja au nyingine jk hakubaliki na wenzake wa afrika mashariki
au
3. huo ni ujumbe wanamtumia kwamba hata wao hawaridhishwi na mchakato
mzima wa "ushindi" wa jk
au zote 1, 2 na 3.
Yeah, hii inaweza kuwa na ukweli kiasi, kwani niliwahi kumsikia ,mkuu wa police uganda akiilaumu bongo kuwa imejiweka kando hasa kutokana na ulipuzi wa mabomu kule Kampala, Bongo haikutoa ushirikiano thabiti!Mseveni ana bifu na jamaa --tetesi