Kagame: Kuna watu wanataka kupindua Serikali yangu

wapindue nchi tu watoto wa kinyaruanda wajazane TZ .maana naona wanazidi kujaa kahama mpaka matajiri wao sijui wamenusa harufu
 
Kwanini miaka yote hiyo ameshindwa kuandaa mrithi haki ya Mungu kitamkuta kilichomkuta Hayati Mugabe
 
Huyu Mzee kila mwaka anarudia kilio hicho hicho cha 'Fdlr'....
 
Watu weusi kwa kupenda madaraka hawajambo, yaani hapo huyo dikteta yuko tayari abaki peke yake hata atawale makaburi lkn abaki tu kuitwa rais.

Kwenye uchaguzi wao feki wa mwaka 2017 alisema hatagombea kwenye uchaguzi wa mwaka 2024 lkn baada ya kuona huo muda unakaribia tayari ameshabadili kibao kwamba anajisikia ana nguvu za kuweza kutawala hadi mwaka 2034. Bure kabisa.
Hata mi CCM Iko hivyo hivyo
 
Kagame angeandaa uchaguzi feki na wagombea feki wa chama tawala na wapinzani alafu ashinde mtu wake ajifanye anakuja na sera mpya kufungua nchi huku akipokea maagizo gizani kutoka kwa Kagame!

Bila hivi atakuja kutoka vibaya madarakani maana ni kama watu wamemchoka.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kwamba kundi la waasi la Democratic Forces for Liberation of Rwanda - FDLR, linaloshutumiwa na serikali ya Rwanda kwa kusababisha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 linaungwa mkono na baadhi ya watu kwa lengo la kuipindua serikali yake

Bila ya kutaja majina ya nchi au watu anaodai kwamba wanaliunga mkono kundi la FDLR, Kagame amedai kwamba kundi hilo linajificha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

Kagame amesema hayo wakati akiwahutubia maseneta. Video ya hotuba hiyo imewekwa kwenye akaunti rasmi ya You Tube, ya rais Kagame – Paul Kagame.

“Kundi la FDLR ambalo limepewa hifadhi kwa miongo kadhaa. Nadhani limehifadhiwa makusudi. Kwa FDLR na makundi mengine yenye ushirikiano nalo kuwa huko (DRC) kwa miongo kadhaa, haiwezi kuwa bila sababu maalum, haiwezekani,” amesema rais Kagame.

“Unaposema kwamba waasi wa M23 na watu wengine ambao unawaondoa – ukisema warudi Rwanda kwa hiari au bila hiari, lakini huzungumzii kuhusu kundi la FDLR kwa sababu unalitaka kuendelea kuwepo….. hiki ndio kiini cha mzozo,” ameongezea kusema Kagame.

“Huo ndio utakaso unaozungumziwa. Unataka kuliondoa kundi moja na kuliachajlingine unalopendelea. Lakini kitu kingine ni kwamba FDLR na makundi mengine unayoyasikia yanafanya hizi kelele zote. Kuna watu wanadhani kwamba wanajaribu kutafuta mbinu mbadala tofauti na ilivyo Rwanda.”

VOA
huyu mjinga anachokitafuta atakipata soon
 
Sema Yuko vizuri kiinjerejensia otherwise wangesha mpindua zamani...ila Iko siku tu atafanyiwa mapinduzi maana wapinzani wake wametapakaa duniani na wanamlia rada Sana
jamaa ni weupe sana
 
wapindue nchi tu watoto wa kinyaruanda wajazane TZ .maana naona wanazidi kujaa kahama mpaka matajiri wao sijui wamenusa harufu
Alafu hiyo kahama sijui ina nini kwa kweli imulikwe kahama ina mamluki wengi sana hata kwa macho tu utaona,niliwahi kuwa na pisi moja hivi ya kahama siku ya kwanza tu nikajua huyu sio wa hapa nikaanza kumpeleleza kwa umakini sana mpaka akajaa kuwa kweli kwao hukoo kwa bwana yule cha ajabu baadae akaingia sekta nyeti sana nchini nashangaaa mpaka leo. Nb alikua mtamu sanaaa
 
Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kwamba kundi la waasi la Democratic Forces for Liberation of Rwanda - FDLR, linaloshutumiwa na serikali ya Rwanda kwa kusababisha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 linaungwa mkono na baadhi ya watu kwa lengo la kuipindua serikali yake

Bila ya kutaja majina ya nchi au watu anaodai kwamba wanaliunga mkono kundi la FDLR, Kagame amedai kwamba kundi hilo linajificha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

Kagame amesema hayo wakati akiwahutubia maseneta. Video ya hotuba hiyo imewekwa kwenye akaunti rasmi ya You Tube, ya rais Kagame – Paul Kagame.

“Kundi la FDLR ambalo limepewa hifadhi kwa miongo kadhaa. Nadhani limehifadhiwa makusudi. Kwa FDLR na makundi mengine yenye ushirikiano nalo kuwa huko (DRC) kwa miongo kadhaa, haiwezi kuwa bila sababu maalum, haiwezekani,” amesema rais Kagame.

“Unaposema kwamba waasi wa M23 na watu wengine ambao unawaondoa – ukisema warudi Rwanda kwa hiari au bila hiari, lakini huzungumzii kuhusu kundi la FDLR kwa sababu unalitaka kuendelea kuwepo….. hiki ndio kiini cha mzozo,” ameongezea kusema Kagame.

“Huo ndio utakaso unaozungumziwa. Unataka kuliondoa kundi moja na kuliachajlingine unalopendelea. Lakini kitu kingine ni kwamba FDLR na makundi mengine unayoyasikia yanafanya hizi kelele zote. Kuna watu wanadhani kwamba wanajaribu kutafuta mbinu mbadala tofauti na ilivyo Rwanda.”

VOA
Mpuuzi tuu huyo
 
Back
Top Bottom