KAGAME KILLED LAURENT KABILA! did you know that?

kagame ndio alianza kumgeuka huyu jamaa,kama huyu Kayumba asingetonywa na marafiki zake atoroke na kwamba anasakwa auwawe asingekuwa Hapa le!jamaa aliwawahi tu akatorokea Uganda kisha South.na walimkosakosa South pia.
ndio maana unaona anamwaga Siri zote Hapa.na hakuna mtu Kagame anamwogopa kama Kayumba.anajua kwamba Kayumba akiwezeshwa yeye hana chake Kigali.
na baada ya hapo ndugu karibia wote wa Kayumba hivi sasa wako ndani.
 
Hivi hawa wahamiaji walioko Dar hili zoezi haliwahusu?maana takribani 10% ya watumishi wa salon ni wacongo man,15% ya mafundi cherehani ni wacongo.
Ukianzia kule mitaa ya mwenge,morocco,kino,sinza,kisha huku kwetu kajamba nani UK wapo nyomi tu.
 
Kigali watapigwa siku moja...watapigwa tu walahi naapa! Wamezidi kuleta zogo...
 
hebu tumwache huyo kagame jamani, tufuate ushauri wa Mbowe jana bungeni, kugombana na majirani zetu haitusaidii hata kidogo, hatutapata hasara yeyote tukijifanya wajinga siku ipite.

coward
mwaka una siku 365 utapitisha siku ngapi
 

we are stable unlike congo
vijana wetu wako vizur
 
Rwanda nchi ndogo sana kutaka kupigana na kila mtu. Ita wacost.

Kagame alisema he has a small country but he has big ideas.....ukiangalia maneno hayo na kuyatafisri unaweza kuona kuwa maana yake ni kuwa DRC wana nchi kubwa lakini akili ndogo, Tanzania ni nchi kubwa lakini ideas kidogo. Ukiangalia ni kuwa jamaa alimsumbua Kagame na kumtishia kwa sababu hiyo hiyo, Nyamwasa amesema jamaa alifikia hadi kuamuru Kabila auawae, na tumesikia wazi kuwa amemtishia rais wetu, so you can see how arrogant he is.

No doubt kuwa majivuno yake yatalipwa na wanyarwanda.
 

Natamani kuchangia lakini kwa kuwa PK amediriki kulitusi jina la Tz basi wacha fate iamue mustakabali wake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…