- PK alisema kuwa JK ni garasa (karata isiyokuwa na thamani) alipokuwa anaongea na vijana
- Akasema atamtandika wakati sahihi
- Akasema ni mjivuni, mpenda sifa
- Na mengine mengi
Sio JK kucheka cheka tuu na kugawa vyeo kwa fadhila!TANZANIA MANENO MATUPU unaacha kukamata wauza unga eti kuogopa wabunge hawatapona, kudadeeki
kwa mkuu wa nchi kumwita rais wa nchi nyingine garasa ni tusi kubwa sana. Na garasa haimaanishi dhaifu kama unavyosema bali ni kitu kisicho na thamani kama zile karata za mavi ya mbuzi worth kushinda mali. Tofautisha hili na yale matusi mnayotukanana mtaani kwenu mkisha zimua pombe. Jaribu kuiangalia kwa kutumia tafsiri za kidiplomasia (kimahusiano kati ya nchi na nchi).
1. red- weka link ya hiyo namba moja!
2. blue- unaelewa maana ya wakati sahihi? hata JK alisema atampiga malawi wakati fulani mbona hamkujaji kama tusi kwa rais Banda!
3. green- hakuna tusi hapo, hakuna binadamu asiyependa kusifiwa, tatizo degrees of the same!
4. yellow- usipende kutumia sentensi aina hiyo unapoombwa utoe orodha!
katika mzozo huu si kwamba najitenga na nchi yangu, la hasha! ila nakerwa sana na jinsi baadhi yenu mnavyozama kumtetea JK na kuacha kudeal na athari za kiuchumi kutokana na ugomvi huu!
Hapo ndio huwa namkubali PK,ingawa inaweza kuwa kamfukuza akiwa na motive ingine kabisa
Kagame ni dictator, na anataka Mawaziri wake wafanye kazi kama anavyotaka yeye.
Hii taarifa ni ya upande mmoja; hatujasikia kutoka kwa waziri aliyefukuzwa. Tusichukulie tu kuwa Waziri alikuwa na makosa kwa sababu Kagame kasema.
Inawezekana Waziri alikuwa sahihi, ila walitofautiana kimtizamo, na Kagame akamtimua kwa kuwa ndiye mwenye uamuzi wa mwisho!
Mtabaki mnatafuta sababu kila siku ili mjifariji kwa weakness zenu za kiuongozi, lakini ukweli uko pale pale tu. Kagame ni kiongozi shupavu. Ukubali, usikubali.
Chimpreports.com-Uganda News - Kagame: I Fired EAC Minister Due To Incompetence
Why EAC ministry bosses were sacked - The New Times Rwanda
Rwanda President Paul Kagame has said he sacked the Minister of East Africa Community affairs, Monique Mukaruliza on Thursday night over incompetence.
The President, who is well known for speaking his mind and holding to account civil servants in public, on Friday, revealed that he replaced Mukaluriza with Jacqueline Muhongayire because the former fell short of properly organizing the recent EAC delegates conference in Kigali.
Why can't you communicate, where's your coordination. We can't reach any goals without working efficiently. This is the reason why I decided to change the Minister of East African Community, said Kagame.
The President was presiding over the swearing-in ceremony of the new Chief of Defense Staff, Gen. Patrick Nyamvumba who replaced Gen Charles Kayonga and the new Deputy Inspector General of Police in charge of Operations, Dan Munyuza.
Muhongayire was also sworn-in today.
A visibly angry Kagame said he personally requested Foreign Affairs Minister Louise Mushikiwabo to apologize to East Africa Community (EAC) delegates because of how the meeting was poorly organized.
Kagame said he made the scandal public to stop any further speculation in the public domain.
It looks like some of you have forgotten their responsibilities. I hope that this is the right time for the leaders who sworn-in today to make sure they meet their goals, warned Kagame.
I'm reminding you that we have to collaboratively work together for the development of the country. Rwanda cannot be changed by words alone, we need action and we need to work together efficiently.
He further elaborated that for Rwanda to achieve her goals, it requires a change of mindset, an understanding of challenges and solutions, productivity and efficiency.
Rwandans must be ready for the struggle that is required to reach our own goals. Staying where we are today requires no effort but achieving our goals will require hard work and constant fight, the President encouraged his countrymen.
Kagame said he would not accept leaders who continue to neglect their duties.
Where our country stands today and where we hope to reach does not allow any of us to work at same pace as those more advanced. The responsibility we have been given is not one to take for granted or lightly, he added.
TOFAUTISHA kati ya ubabe na ushupavu. kagame siyo KIONGOZI shupavu bali ni kiongozi ni mbabe. angekuwa shupavu angeruhusu demokrasia ya kweli, siyo kuwa tia gerezani wana siasa wa upinzani kama ingabire. angeruhusu uhuru wa kutoa maoni ndipo tungemwita shupavu. ndiyo maana alihamaki sana kupata maoni tofauti na fikra zake yaliyotolewa na mh. JK. MH JK alishazoea utawala waKE wa kidemokrasia wa kutoa maoni kwa uhuru kama ilivyo nchini kwake ndiyo sababu akamshauri kwa uhuru huyo dikteta na mbabe ambaye haya mambo ni msamiati kwake na akahamaki dhidi ya kikwete mpaka leo. shame on PK
Hapo kwenye blue, inamhusu zaidi JK alipoamua kutoa 'ushauri' ambao yeye mwenyewe hawezi kuufanyia kazi nchini mwake...!!!
Soma hapa chini utaelewa vizuri.....
Msiba wa kujitakia, hauna kilio.
JK ameyataka mwenyewe kwa 'kujipendekeza' kutoa 'ushauri'...
JK anamwambia mwenzake 'aongee' na waasi (wauaji), wakati yeye mwenyewe JK haongei na wapinzani wake (vyama vya siasa vya upinzani).
Badala yake, yeye JK anaamrisha wapinzani wake 'wapigwe tu' !! wakati hao wapinzani wake yeye JK ni watu wa amani kabisa na wapo kisheria kama vyama vya siasa.
Sasa yeye mwenyewe JK angeweza kuongea na vyama vya upinzania kama vyama hivyo vingekuwa ni vyama vya waasi wauaji ??
Cheap shot. Halafu mkuu nimeona hapa kuwa wewe ni kiongozi wa chama pinzani hapo tanzania? If it is so, then you guys are in trouble kama hawa ndio viongozi wenu. Anyways, good luck guys.
Ntikabavamwo
Huyu ndio raisi wetu in a nutshell. Hana mchezo katika kazi. Hana ndugu katika kazi. Yeye anaangalia maslahi ya nchi kwanza. Maandalizi mabovu ya mkutano tu yanamfukuzisha kazi waziri. Uwajibikaji. Hapo tanzania haya yanawezekana kweli?
JK alisema "...do not be deceived by my smile, I am serious on issues" hadi leo sijajua ni issues gani yupo serious
Umekosea, Mawaziri wanatakiwa wafanye kazi kama anavotaka Rais. Ubishi wowote utampelekea Waziri kutimulwa mara moja. Wamanchi wanamchagua Rais, mawaziri wanamsaidia Rais tu kutekeleza yale yaliyo kwenye ilani aliyotumia Rais kuomba kura. Sasa Rais anamwambia waziri kufanya hivi halafu waziri anaanza kufikiri na kufanya vingine haiwezekani. Hakuna haja ya kusikiliza upande mwingine maana alichotaka mkubwa hakikutelezwa. Ukishatofautina na Rais kimtizamo lazima uondolewe tu. Huo ndio uongozi na utawala. Period. Aondolewe tu.