wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 169
naamini uongozi uliomakini wa yanga watumie sheria na kanuni za mashindano za fifa zinazo elekeza kama cecafa hawana utaratibu wa kushiriki wasishiriki kabisa wasiburuzwe na dikteta musonye wache acheze yeye na tenga wake.
na yanga asiposhiriki cecafa wamekwisha lazima musonye akomeshwe kama alivyoikomesha yanga
na yanga asiposhiriki cecafa wamekwisha lazima musonye akomeshwe kama alivyoikomesha yanga